Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana.