Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Na NYIE Makobaz bc muwe na hy intelligence Sasa, jisomeeni albadil ili mpate huo uwezoHiyo ni Level of Intelligence
Na NYIE Makobaz bc muwe na hy intelligence Sasa, jisomeeni albadil ili mpate huo uwezoHiyo ni Level of Intelligence
Jihad ni kufa kwenye uwanja wa vita ,hiyi intelijensia peleka mbele hukoNa NYIE Makobaz bc muwe na hy intelligence Sasa, jisomeeni albadil ili mpate huo uwezo
🤣🤣🤣Hiyo nchi unayosema ni overrated ilitoa mtu aliyegundua bomu la nyukilia kabla nchi zote za Afrika hazijapata Uhuru.
Kama mlishindwa kuifuta kwenye uso wa dunia kwenye six day war huku kwingine mnapoteza muda.
Wengine wanapiganiwa na Mungu.
Kwani Iran ana akili ganiUkimtoa Iran na Israel, Mashariki ya kati nchi Gani nyingine Ina akili pale..!?
Mtabwabwaja lakini ndiyo hivyo hakuna tena utawala wa Kiislamu wa AyatollahWell, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Walaykum salaamAsalam aleikum Shekh Hudhaifa
Vyenye ayatollah anasoma hii comment akiwa hands linkHiyo nchi unayosema ni overrated ilitoa mtu aliyegundua bomu la nyukilia kabla nchi zote za Afrika hazijapata Uhuru.
Kama mlishindwa kuifuta kwenye uso wa dunia kwenye six day war huku kwingine mnapoteza muda.
Wengine wanapiganiwa na Mungu.
israel kwenye ramani ya dunia ni mara 70 ya iran au 80 yaani asilimia moja ya size ya iranMkuu wewe ukichukua nafasi ya Israel pale mashariki ya kati utadumu kwa sekunde ngapi kabla hujafutwa 😂😂😂😂😂
Huwezi ukasema wameshindwa kuzuia missiles za Iran wakati hujasema idadi ya missile zilizorushwa ni ngapi, zilizopiga lengo ni ngapi na ambazo hazikupiga lengo ni ngapi,wakati watu tulikuwa tunashuhudia jinsi Iran walivyokuwa wanarusha missile nyingi kwa wakati mmoja kwa vipindi tofautitofauti,zipo zilizo kuwa zinatua na kuharibu majengo na zipo zilizokuwa zinazuiliwa na mfumo wa ulinzi,na bila mfumo wa ulinzi kusaidia mpaka sasa Iran angekuwa ametimiza adhima yake ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia.Underrated. Adv tech inashindwa kuzuia Missiles za Iran …… it should tell Iran wapo Adv
Haya kufeniJihad ni kufa kwenye uwanja wa vita ,hiyi intelijensia peleka mbele huko
Nawe ni wale wale. Utasomaje vitabu vilivyoandikwa na mwanamme mwengine? Tena unaona fahari ku quote mawazo ya mwanaume mwengine." at times especially on weekends and specifically on Sundays, majority of young men's brain do not function well. This is because either they eat a lot or less depending on the mood for the weekend. Argue with them on week days" (words of wisdom from OSMAN CONTEH'S in his book DOUBLE TROUBLE by (pacesetter). I agree with him 😂😂😂😂☝️
Kobaz banaJihad ni kufa kwenye uwanja wa vita ,hiyi intelijensia peleka mbele huko
Si sawa. USA ya mzinzi Trump inaipigania Israel halafu tunadanganyana ni Mungu!Wengine wanapiganiwa na Mungu.