thanks however
Kwenye vita usipende kuamini kila taarifa inayotolewa na upande mmoja kwani Nyingi zina kuwa ni taarifa za kutumia logic which are not always right.
mfano; Ukiseach utaona kuwa Marekani imetuaminisha kuwa imethibiti mlango wa Hormuz ila cha ajabu hata Marekani yenyewe haijathubutu kupisha meli yake hapo na zipo meli kwa mamia zipo stranded....
Pamoja na news nyingi za propaganda inazotoa; kwa nini isi sindikize meli zikapita Hormuz hasa kama imesha dhoofisha nguvu ya Irani for more than 60%?
Kama ulienda jeshini utakuwa unajua kuwa Propaganda ni sehemu ya vita......hivyo, not every news in the war is news, many are fake/cooked news....use your brain or other sources to verify what you see/read!!!