Mpaka USA kanunua ugomvi🤣🤣Haya kufeni
Haaa , Ukraine part two anapewa msaada tunaona.Kobaz bana
Sawa ninabaki na nilichoandika wengine wanapiganiwa na Mungu.Si sawa. USA ya mzinzi Trump inaipigania Israel halafu tunadanganyana ni Mungu!
Romans 10 : 12 & Galatia 3:28 zinasema Mungu ni wa watu wote, si wa taifa moja tu.
Overrated anauwa viongozi wa juu wa serikal,overrated anajua kiongozi wa juu kabisa wa nchi analala wapi na akwambia kabisa akitaka kumuuwa anamuuwa muda wowote, ....anyway kinu chenu cha che fondow malone kimetifuliwa huko tusubir mionzi ianze kuvuja
Trump ali kunanii hadi wewe? Aiseee... Achana naye kabisa siku nyingine usidanganyike na utajiri wake. Tulia pata bwana wa kiafrika akuoe. Mnapenda sana wazee nyie wanawake wa kiafrikaSi sawa. USA ya mzinzi Trump inaipigania Israel halafu tunadanganyana ni Mungu!
Romans 10 : 12 & Galatia 3:28 zinasema Mungu ni wa watu wote, si wa taifa moja tu.
Sawa mkuu.Underrated. Adv tech inashindwa kuzuia Missiles za Iran …… it should tell Iran wapo Adv
Mungu gani huyo wewe, huo ugomvi wao, na jinsi wanavyotandikana, msimuingize Mungu.Mungu karuhusu waue watoto pale Gaza au sio?Hiyo nchi unayosema ni overrated ilitoa mtu aliyegundua bomu la nyukilia kabla nchi zote za Afrika hazijapata Uhuru.
Kama mlishindwa kuifuta kwenye uso wa dunia kwenye six day war huku kwingine mnapoteza muda.
Wengine wanapiganiwa na Mungu.
Kwa hiyo watoto wa Israel ndio wana haki ya kuuwawa?Mungu gani huyo wewe, huo ugomvi wao, na jinsi wanavyotandikana, msimuingize Mungu.Mungu karuhusu waue watoto pale Gaza au sio?
Kumbe ni mumeo? Samahani sana.Trump ali kunanii hadi wewe? Aiseee... Achana naye kabisa siku nyingine usidanganyike na utajiri wake. Tulia pata bwana wa kiafrika akuoe. Mnapenda sana wazee nyie wanawake wa kiafrika
Pole ayatollahHili suala limeniuma sana. Tena sana.
Unajikataa wewe mwenye uzoefu naye unasema ni mzinzi. Mimi ni kama yeye napiga mademu naacha najua mnatuchukia wa hivi. 🤣Kumbe ni mumeo? Samahani sana.
Endelea tu kumtetea mumeo. Mzinzi au siyo mzinzi hilo lilishaamuliwa na New York jury.Unajikataa wewe mwenye uzoefu naye unasema ni mzinzi. Mimi ni kama yeye napiga mademu naacha najua mnatuchukia wa hivi. 🤣
Swali zuri sana hiloMkuu wewe ukichukua nafasi ya Israel pale mashariki ya kati utadumu kwa sekunde ngapi kabla hujafutwa 😂😂😂😂😂
Lakini inapigana na Hamas,Houthi,Hezibollah na Iran kwa wakati mmoja sip kitu chepesiWell, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Apeleke taifa lake lichukue nafasi ya Israel tuone litadumu sekunde ngapi. Sisi tuendelee kuzalisha chawa na kunguni tu 😂😂😂Lakini inapigana na Hamas,Houthi,Hezibollah na Iran kwa wakati mmoja sip kitu chepesi
Intel inakusanywa na watu gani kama hamna akili?hiyo ni Intel tu ….