Mkuu wewe ukichukua nafasi ya Israel pale mashariki ya kati utadumu kwa sekunde ngapi kabla hujafutwa 😂😂😂😂😂Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Ukimtoa Iran na Israel, Mashariki ya kati nchi Gani nyingine Ina akili pale..!?Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…
hiyo ni Intel tu ….Overrated anauwa viongozi wa juu wa serikal,overrated anajua kiongozi wa juu kabisa wa nchi analala wapi na akwambia kabisa akitaka kumuuwa anamuuwa muda wowote, ....anyway kinu chenu cha che fondow malone kimetifuliwa huko tusubir mionzi ianze kuvuja
Vinu vyote vimebomolewa mkuu, lipi unaweza kuzungumzia kuhusu hilo?Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Hajaua mwenyekiti wa mtaa ?Sasa kama Israel nchi inayoweza kuja Iran na kuua viongozi wote tena wakijeshi na rais pia alishawahi kuuawa kwa kile mnachoita ni ajali 😂 na Iran yeye mabomu yote yale lkn hajaua hata mwenyekiti wa mtaa, sasa hapo nani ni overrated kati ya Iran na Israel?
Ila Iran kushindwa kuzuia shambulizi dhidi ya viongozi wake wa kijeshi na rais kuuawa sio overrated 😂Underrated. Adv tech inashindwa kuzuia Missiles za Iran …… it should tell Iran wapo Adv
Israel tech hajawekeza kwenye makombola, Iran amewekeza kwenye makombola ila siyo kwenye maeneo mengine muhimu kama intelligence.Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Yeah, why Iran asiombe USA imsaidie kuipiga Israel?
Israel is good kwenye Intelligence ( Umbea)Israel tech hajawekeza kwenye makombola, Iran amewekeza kwenye makombola ila siyo kwenye maeneo mengine muhimu kama intelligence.
Israel kwa alivyoelekeza alifanikiwa kupigana vita na kuipiga Iran akiwa katika ardhi ya Iran, wakajenga siraha ndani ya Iran, wakajua waanze na nani ktk viongozi makamanda waamrishaji.
Huwezi kuwa bora kila eneo hata huyo USA siyo bora kwenye eneo fulani hasa la askari wa miguu