Israel ni Overrated na hawana Technology kubwa kama tunavyoaminishwa

Mtu kapigwa kama ngoma ,ile iron dome ni kwa ajili ya kuzuia baruti🀣🀣🀣🀣vita vyote wanasaidiwa na US ...Jamaa aliahirisha safari zake alipoaambiwa baba tunakufa huku.
 
Hiyo nchi unayosema ni overrated ilitoa mtu aliyegundua bomu la nyukilia kabla nchi zote za Afrika hazijapata Uhuru.

Kama mlishindwa kuifuta kwenye uso wa dunia kwenye six day war huku kwingine mnapoteza muda.

Wengine wanapiganiwa na Mungu.
🀣🀣🀣
 
Mtabwabwaja lakini ndiyo hivyo hakuna tena utawala wa Kiislamu wa Ayatollah
 
Hiyo nchi unayosema ni overrated ilitoa mtu aliyegundua bomu la nyukilia kabla nchi zote za Afrika hazijapata Uhuru.

Kama mlishindwa kuifuta kwenye uso wa dunia kwenye six day war huku kwingine mnapoteza muda.

Wengine wanapiganiwa na Mungu.
Vyenye ayatollah anasoma hii comment akiwa hands link
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu wewe ukichukua nafasi ya Israel pale mashariki ya kati utadumu kwa sekunde ngapi kabla hujafutwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
israel kwenye ramani ya dunia ni mara 70 ya iran au 80 yaani asilimia moja ya size ya iran

kanchi kadogo sana unaweza kukafuta dakika chache lakini bado
 
Underrated. Adv tech inashindwa kuzuia Missiles za Iran …… it should tell Iran wapo Adv
Huwezi ukasema wameshindwa kuzuia missiles za Iran wakati hujasema idadi ya missile zilizorushwa ni ngapi, zilizopiga lengo ni ngapi na ambazo hazikupiga lengo ni ngapi,wakati watu tulikuwa tunashuhudia jinsi Iran walivyokuwa wanarusha missile nyingi kwa wakati mmoja kwa vipindi tofautitofauti,zipo zilizo kuwa zinatua na kuharibu majengo na zipo zilizokuwa zinazuiliwa na mfumo wa ulinzi,na bila mfumo wa ulinzi kusaidia mpaka sasa Iran angekuwa ametimiza adhima yake ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia.
 
Nawe ni wale wale. Utasomaje vitabu vilivyoandikwa na mwanamme mwengine? Tena unaona fahari ku quote mawazo ya mwanaume mwengine.

Be self independent intellectually
 
Lakini matokeo tunayaona.

Sijui wewe ulitaka kuona technologia gani?
 
Kuna raia kibao wa Israel hapa Bongo, shoboka na mmoja ndio utajua ni Overrated au vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…