Israel ni Overrated na hawana Technology kubwa kama tunavyoaminishwa

Huyu kama malaya kote kote
Haeleweki nani kamsifu hapa
 
Si sawa. USA ya mzinzi Trump inaipigania Israel halafu tunadanganyana ni Mungu!

Romans 10 : 12 & Galatia 3:28 zinasema Mungu ni wa watu wote, si wa taifa moja tu.
Sawa ninabaki na nilichoandika wengine wanapiganiwa na Mungu.
 
kwhy shirika la ujasusi la irani linazidiwa na osama bin Laden na al-Qaida yake, maana iliwachukuwa marekani na u-super tech wao over years kumpata, lakini viongozi wa juu wa jeshi la irani, Israel kaenda mpigo mmoja karudi na vichwa tisa plus kujua ayatollah analala wapi, pia ikumbukwe before rais wa nchi aliliwa kichwa watu wakafunika kombe,maana ilikuwa ni aibu kuu
 

Hili suala limeniuma sana. Tena sana.
 
Si sawa. USA ya mzinzi Trump inaipigania Israel halafu tunadanganyana ni Mungu!

Romans 10 : 12 & Galatia 3:28 zinasema Mungu ni wa watu wote, si wa taifa moja tu.
Trump ali kunanii hadi wewe? Aiseee... Achana naye kabisa siku nyingine usidanganyike na utajiri wake. Tulia pata bwana wa kiafrika akuoe. Mnapenda sana wazee nyie wanawake wa kiafrika
 
Bahati mbaya sana vita sio mechi ya yanga na simba, ukipigwa ndo imetoka hiyo, anayeamini ni ushindi au kushindwa kivyake tu, maisha yanaendelea! As long as Israel anawapunguzia nguvu maadui zake kama kuna mtu anaona its over/underrated kivyake tu yani!
 
Hiyo nchi unayosema ni overrated ilitoa mtu aliyegundua bomu la nyukilia kabla nchi zote za Afrika hazijapata Uhuru.

Kama mlishindwa kuifuta kwenye uso wa dunia kwenye six day war huku kwingine mnapoteza muda.

Wengine wanapiganiwa na Mungu.
Mungu gani huyo wewe, huo ugomvi wao, na jinsi wanavyotandikana, msimuingize Mungu.Mungu karuhusu waue watoto pale Gaza au sio?
 
Trump ali kunanii hadi wewe? Aiseee... Achana naye kabisa siku nyingine usidanganyike na utajiri wake. Tulia pata bwana wa kiafrika akuoe. Mnapenda sana wazee nyie wanawake wa kiafrika
Kumbe ni mumeo? Samahani sana.
 
Unajikataa wewe mwenye uzoefu naye unasema ni mzinzi. Mimi ni kama yeye napiga mademu naacha najua mnatuchukia wa hivi. 🀣
Endelea tu kumtetea mumeo. Mzinzi au siyo mzinzi hilo lilishaamuliwa na New York jury.
 
Lakini inapigana na Hamas,Houthi,Hezibollah na Iran kwa wakati mmoja sip kitu chepesi
 
Lakini inapigana na Hamas,Houthi,Hezibollah na Iran kwa wakati mmoja sip kitu chepesi
Apeleke taifa lake lichukue nafasi ya Israel tuone litadumu sekunde ngapi. Sisi tuendelee kuzalisha chawa na kunguni tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…