Swali hili kama umeuliza kwa mtazamo wa ushabiki, basi jibu hili huenda lisikusaidie sana. Lakini kama wewe ni mfuatiliaji makini wa masuala ya geopolitics ya Mashariki ya Kati, hususan katika nyanja za nishati na teknolojia, basi ni muhimu kufahamu kuwa Iran ni miongoni mwa key players hasa katika uzalishaji wa droni, hasa zile za gharama nafuu na zinazoweza kuzalishwa kwa wingi (cheap drones), tofauti na zile za Marekani na Israel ambazo ni za teknolojia ya juu lakini ghali (high tech drones).Kumbuka kuwa Iran imekuwa ikisambaza droni hizo kwa Russia katika vita ya Ukraine. Kuhusu teknolojia ya makombora, hasa ya masafa marefu (ballistic missiles), Iran imepiga hatua kubwa. Ushahidi wa uwezo huu umeonekana wazi katika mgogoro unaoendelea kati ya Iran na Israel, ambapo mifumo ya kujihami ya Iron Dome ya Israel imeshindwa kikamilifu kuzuia makombora hayo kutoka Iran. Hata hivyo, tukija kwenye masuala ya mashinikizo ya kidiplomasia na kijeshi, ni wazi kuwa Marekani na Israel wana nguvu kubwa na wanastahili pongezi katika maeneo hayo. Licha ya hivyo, Iran imeweza kutumia wanasayansi wake kuendeleza teknolojia ya mabomu ya nyuklia, na ni mojawapo ya mataifa machache duniani, pamoja na Marekani, Urusi, China, na Israel yenye uwezo mkubwa katika vita vya kimtandao (cyberwarfare), teknolojia ya makombora (Missile Tech), akili bandia (AI), upelelezi wa kiteknolojia (surveillance), vita vya kutumia droni (Drone warfare), na pia katika medani ya propaganda.Kwani Iran ana akili gani
Irene ni for small rockets na za speed ya kawaida.Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Vinu vyote vimebomolewa mkuu, lipi unaweza kuzungumzia kuhusu hilo?
Na wewe pia ni Mimi Mimi, utajibuje nukuu za wanaume wenzako? Tena unaona fahari kumwelimisha mwanaume mwenzako ambae hahitaji elimu Yako. Be self-driven-intellect.Nawe ni wale wale. Utasomaje vitabu vilivyoandikwa na mwanamme mwengine? Tena unaona fahari ku quote mawazo ya mwanaume mwengine.
Be self independent intellectually
Na wewe pia ni Mimi Mimi utajibuje nukuu za mwanaume mwenzako mwenzako ambae HATA hahitaji elimu Yako?Nawe ni wale wale. Utasomaje vitabu vilivyoandikwa na mwanamme mwengine? Tena unaona fahari ku quote mawazo ya mwanaume mwengine.
Be self independent intellectually
🤣🤣🤣🤣🤣" at times especially on weekends and specifically on Sundays, majority of young men's brain do not function well. This is because either they eat a lot or less depending on the mood for the weekend. Argue with them on week days" (words of wisdom from OSMAN CONTEH'S in his book DOUBLE TROUBLE by (pacesetter). I agree with him 😂😂😂😂☝️
Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Dahh 😁😁Trump ali kunanii hadi wewe? Aiseee... Achana naye kabisa siku nyingine usidanganyike na utajiri wake. Tulia pata bwana wa kiafrika akuoe. Mnapenda sana wazee nyie wanawake wa kiafrika
Iran iko mbali sana huwezi kulinganisha na IsraelUkimtoa Iran na Israel, Mashariki ya kati nchi Gani nyingine Ina akili pale..!?
Israel holds a significant lead over Iran in overall educational attainment, with higher literacy rates (95% vs ~89%–94%), superior tertiary education enrollment, and higher academic rankings. While Iran has made vast improvements in literacy, particularly among women, Israel leads in specialized metrics, boasting roughly 75% more tertiary students per capita and higher rates of advanced degreesIran iko mbali sana huwezi kulinganisha na Israel
JAPO ISRAEL IKO OVER RATTED kwa sababu ya kituo kikubwa cha kijeshi cha marekani kilichopo tel aviv.
Irani inajivunia kuwa na raia wengi waliosoma vizuri hadi Elimu ya juu; na maanisha; Irani ni kati ya Nchi tano duniani ambazo raia wake wamesoma vizuri.
na ndio sababu silaha wanazotumia kwa kiasi kikubwa wanatengeneza wenyewe. Drone za kisasa, ndege nk nk
https://www.facebook.com/Iran iko mbali sana huwezi kulinganisha na Israel
JAPO ISRAEL IKO OVER RATTED kwa sababu ya kituo kikubwa cha kijeshi cha marekani kilichopo tel aviv.
Irani inajivunia kuwa na raia wengi waliosoma vizuri hadi Elimu ya juu; na maanisha; Irani ni kati ya Nchi tano duniani ambazo raia wake wamesoma vizuri.
na ndio sababu silaha wanazotumia kwa kiasi kikubwa wanatengeneza wenyewe. Drone za kisasa, ndege nk nk
Dunia ingependeza kama kusingekuwa na vita. Haya mambo ya Advanced military sijui nini yangekuwa bullshitWell, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia Missiles, iran alone inatuonesha how Israel is overrated, na ikiwekwa mtu kati, Iran anaweza kuifuta Israel in a week. Kama Major area can be attacked, that shows system za security zipo week.
Kutoa nchi za Africa ambao bado wanapambana na ugali, nchi za wenzetu wapo very fast kwenye advanced military tech, Just a single person can destroy the whole world in a single day…. Ndio technology ilipotufikisha kwa sasa.
Ninawaelewa Wazungu, hawa wenye asili ya waarabu sio kabisa wa kuwaacha na atomic Energy , ni watu wenye kuamini sana peponi, a mad person can destroy the World
But Israel is Overrated sana
Unakumbuka mwaka jana Israel ilivyo ibeep Iran kwa mabomu walipata kipigo cha mbwa kokohttps://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1478833977331003hawako overated, Israel ni technologicaly global icon kwa mambo mengi sana
Unakumbuka mwaka jana Israel ilivyo ibeep Iran kwa mabomu walipata kipigo cha mbwa koko
Kama sio Marekani kuingilia kuokoa jahazi, ingesambaratishwa kama ilivyo fanya kwa palestina...
Israel wako vizuri ILA huwezi kuwalinganisha na Iran hata kidogo.....
Hivi unajua Ukanda wa Asia ikiwemo Urusi hutegemea kununua silaha nyingi tu kutoka Iran zikiwemo Drone za kisasa za kivita?
Iran pamoja na vikwazo mbalimbali inavyowekewa, umewahi kusikia hata siku moja wakilia lia kuomba msaada wowote? ujue pamoja na kuwa jangwani; Irani bei ya vyakula ni rahisi kuliko TANZANIA wakati kwa uchumi wao ILITAKIWA IWE JUU WALAU MARAMBILI YA KWETU....Sijasema Petrol ambapo kwao ni sawa na bure!
Kwa hiyo point #1
- srael maintains a decisive lead in the air. During the 2026 strikes, the Israeli Air Force demonstrated the ability to bypass Iranian air defenses with relative ease, conducting over 10,000 strikes
- As of May 2026, reports indicate that Israel has executed a widespread "decapitation strategy" against Iran’s senior political and military leadership. This campaign has reportedly eliminated several of the country’s most powerful figures, including the Supreme Leader and top commanders of the Revolutionary Guard
usiongee hisia na expeience ya vujiwe talk, weka current evidence, wewe ni shabiki wa Iran, mimi si shabikii nchi yoyote kati ya hizo naweka FACTS na siyo hisia za kujifurahishaKwa hiyo point #1
hata kwa akili ya kawaida hiyo sio israel, bali ni kituo cha kijeshi cha marekani hata hivyo kwa kutumia hesabu siamini kama wameingia na kupiga mabomu mara 10,000 unless kama wanapiga drone ndogo ndogo zenye madhara kidogo.......can be news + propaganda.
By the way, hivi unajua Irani imeweza kutungua ndege aina ya F-15E STRIKE EAGLE ambayo marekani hujivunia kuwa haianguki kirahisi...na bado....Ogopa sana Nchi iliyo wekeza kwenye Elimu, Elimu Elimu....
Point#2
Viongozi wa Iran (viongozi wa kiislam) huwa hawataki kuacha watu wao wauwawe huku wao wamejificha na ndio hicho kimetokea; wapo tayari kama ni kuuwawa wafe wote na hiyo ipo kwenye historia ya Uislam; ukisoma Historia ya Iman Hussein etc
thanks howeverusiongee hisia na expeience ya vujiwe talk, weka current evidence, wewe ni shabiki wa Iran, mimi si shabikii nchi yoyote kati ya hizo naweka FACTS na siyo hisia za kujifurahisha
Iran sasa imefulia kiuchumi na nguvu za kijeshi zimepuguzwa kwa zaidiya 50%, na inflation ya bei ya chakula iko 105%
View attachment 3585986hii ni currency collapse, nchi yenye iflation kama hii haiwezi pigana vita ya maana dhidi ya Israel naUSA
- Inflation is projected to remain above 40%, with some estimates closer to 60-70%. The rial has suffered severe depreciation. (imeshakalishwa chini kiuchumi kama unajua mazingira ya inflatio ya 60-70%)
- Intense Operation Epic Fury by U.S.-Israeli forces has crippled long-range strike launchers.
- Much of Iran's conventional arsenal consists of outdated or reverse-engineered systems
- As of May 2026, Iran is significantly weakened by intense, sustained U.S.-Israeli military actions, losing key regional partners, suffering internal economic collapse, and having its air defenses and missile production severely degraded