Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Sasa huyu mungu gani anayekuwa upande wa mashoga na wauaji wa huko Israel?
Tunapeleka vijana israel au russia miaka 2 kabla ya kununua...
Transcend
Na hapa ndipo na mimi nina amini Mungu anaweza pigwa mawe na binadamu wake na kutundikwa juu ya mti kama ana akili za kibaguzi hivi.Mungu wa hivo mimi huwa namuitaga mshenzi
Hii ndege ni hatari ila wanasema S 400 zikiwa zaidi ya tatu hiyo ndege inashughulikiwa hata hivyo Russia ina develop S 500 wanasema ndio kiboko ya Fifth generation zote.Hii ndege ina uwezo wa kuruka na kusafiri kwa umbali mrefu bila kuonekana na pia mashambulizi yake ni hatari. Inakushushia mabomu kama mvua.
Hata kifaa cha Mrusi S-400 hakina ujanja dhidi ya hii ndege. Trump amekurupuka kwa kukosoa lakini ametulizwa na wazee wenye dunia.
Kwa jumla, Israel ameagiza zingine hamsini kama hizi, ikumbukwe pia Wayahudi huwa wanajiongezea mambo yao wenyewe, hivyo watazifungua na kufanya yao humo ndani na kuzifanya kuwa na uwezo mkubwa.
Miafrika yetu macho.....
Jerusalem (CNN)On an early morning in the summer of 1967, Israeli Mirage jets screeched across the desert of Egypt's Sinai Peninsula. Wave after wave of warplanes destroyed hundreds of Egyptian planes, leaving many of them smoldering on the tarmac. That decisive attack guaranteed Israel's air superiority for the remainder of the Six Day War.
And over the past five decades, Israel has sought to maintain its superiority in the skies over the Middle East.
Two of Lockheed Martin's F-35s, the most advanced fighter jet in the region, arrived in Israel on Monday. Israel has ordered 50 of them from the United States. Each has a price tag of more than $100 million.
The jets will be stationed at an air force base in Israel's Negev desert, with Lieutenant Colonel Yotam leading the squadron.
Israel greets first F-35 jets from US - CNN.com
S400 yenyewe haisimami peke yake mbele ya 5th gen aircraft ndo maaana huwa zinaunganishwa na BUK, Pantisir,Tor, air defences systems.Hii ndege ni hatari ila wanasema S 400 zikiwa zaidi ya tatu hiyo ndege inashughulikiwa hata hivyo Russia ina develop S 500 wanasema ndio kiboko ya Fifth generation zote.
Mkuu labda peke yako ndo ulilaaniwaMtu mweus alilaniwa kaka
Magufuli ameokoka?? Kaokoka lini?Tanzania kupitia rais wetu Magufuli kwakuwa anamjua Yesu na kumwamini ni mwokozi na ameokoka basi amefungua na kulibariki taifa la Israeli
Ndo hivo sasa msiseme Israeli taifa teule kama ni hivo mataifa yote basi.Mungu ni wa wote, hata weye ulipo hapo una dhambi tena lukuki.
Jua linawaka juu ya wezi and wabakaji, wanaowahukumu mashoga ni binadamu tena watenda dhambi kama nyinyi sio Mungu.
Mungu angekuwa na fikra kama zako na wanadamu wenziyo hakungesalia hata mtu mmoja duniani leo.
Huenda hata hakungezaliwa shoga hata mmoja leo hii.
Jirekebishe.
Wiki iliyopita hiyo Syria warusi wamemchapa mpaka anaomba UN waingilie kati kusimamisha mapigano katika mji wa allepoMarekan tena kapokea kichapo toka kwa Urusi, Lini hyo au movie gn hyo?
Walivyomchapa walitungua ndege zake ngp au walilipua meli zake ngap?Wiki iliyopita hiyo Syria warusi wamemchapa mpaka anaomba UN waingilie kati kusimamisha mapigano katika mji wa allepo
Marekani wanapigana Syria bega kwa bega na opposition pamoja na Isis undercover. Utangoja sana kuamini hili ninalokwambia.Walivyomchapa walitungua ndege zake ngp au walilipua meli zake ngap?
Kumbe ndan ya ISIS kuna Navy Seals muleMarekani wanapigana Syria bega kwa bega na opposition pamoja na Isis undercover. Utangoja sana kuamini hili ninalokwambia.
Ukweli 'according to' nani?Huo ndio ukweli lakini hulazimishwi kuukubali.
kimsingi hizo ndege tangu zinatengenezwa mpaka kutumika nimuda sasa..sio rahisi Russian wakakaa kimya bila lolote kufanyika mfano T 50 PAK ndo kwanza zipo ktk majaribio ni ukweli usiopingika F 35 ni ndege zinazosubiri ardhi kama zikigusa sehemu flan flan...swali lamsingi why Iran wamenunua S 300 tena kwa pesa nyingi wakati wanajua IDF wana access ya F 35?Acheni uzushi eti haionekani
Ilishawahi kupita kwenye anga
Ya Russia China Iran N korea
Wakashindwa kuiona? Au ndiyo
Mahaba niue
Ulikuwa hujuwi.Kumbe ndan ya ISIS kuna Navy Seals mule
Go tell that to the Buddhists.. Muslims.. And them Taoism followers..Huo ndio ukweli lakini hulazimishwi kuukubali.