Israel siku zote wanaichukia UNRWA. Haina uhusiano wowote na Hamas, wanaona ni kikwazo kwao kuwafadhili Palestina

Israel siku zote wanaichukia UNRWA. Haina uhusiano wowote na Hamas, wanaona ni kikwazo kwao kuwafadhili Palestina

Watu duniani wapenda haki wameishaanza kuchanga hata dola 1 unaweza kutuma. Hoja siyo mashoga ni kusema uongo dunia ipo wqzi siku hizi.

View: https://x.com/drloupis/status/1751587337681658156?s=46&t=mTROWpaJUT8H393J

Kumbe sik
Wewe wala hujui chochote huu uzi umekuzidi umri nenda jukwaa lako la mipasho watu wanapiga kusema kuwa UNRWA ni magaidi walihusika na mashambulizo Oct 7
Tuhuma hizo ni nzito....kama zisingekuwa nzito wafanyakazi 12 wasingefukuzwa.
 
Qatar, Saudia arabia wako wapi mpaka watu wachangie dola 1?
Ndiyo maana nakuambia huu uzi umekuzidi umri ungekuwa unaufahamu usingeuliza unaleta ushabiki mandanzi hao uliowataja wanatoka michango mikubwa Gaza uwe unajisomea , Qatar yeye kaishaaema Gaza ataijenga yeye wewe pambana kujitibu UTI.
 
South Africa ni Hamas,ICJ ni Hamas,UNRWA ni Hamas,mtu yeyote anayetetea haki za wapalestina ni Hamas,shule,hospitali,vyuo vikuu Gaza ni Hamas. Najiuliza tu je nani au taasisi gani sio Hamas?
 
Ndiyo maana nakuambia huu uzi umekuzidi umri ungekuwa unaufahamu usingeuliza unaleta ushabiki mandanzi hao uliowataja wanatoka michango mikubwa Gaza uwe unajisomea , Qatar yeye kaishaaema Gaza ataijenga yeye wewe pambana kujitibu UTI.
Mwenye UTI ya ubongo ni wewe. Masaada unahitajika sasa hivi kuokoa hao 2M wanaokabiliwa na baa la njaa....majengo yatakayojengwa baadaye yana umuhimu gani zaidi ya uhai wa wapalestina sasa hivi? acha undezi aisee...
 
UNRWA ni Hamas. Hospitali hizo ni Hamas. Ambulances ni Hamas. Waandishi hao wa habari ni Hamas. Shule hizo ni Hamas. Afrika Kusini ni Hamas. Watu wanaotweet mambo machafu kuhusu Israel ni Hamas. Kimsingi kila kitu Israel na wafuasi wake wanataka kuua ni Hamas.
 
Israel ilipowaua wafanyakazi 152 wa UNRWA, hakukuwa na lawama za Magharibi.

Baada ya uamuzi wa ICJ, serikali za Magharibi ziliacha kufadhili UNRWA, ambayo inawalisha watoto wa Gaza waliokuwa na njaa. Walirejelea madai yaliyotolewa na serikali ya mauaji ya halaiki kuhusu wafanyikazi 12.
HAMAS huwa wakiuawa mdugu zao huwageuza kuwa wanawake wajawazito, vijana wafanyabiashara, madaktari, maderava wa Ambulance, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, Waandishi wa habari n.k.
 
Mwenye UTI ya ubongo ni wewe. Masaada unahitajika sasa hivi kuokoa hao 2M wanaokabiliwa na baa la njaa....majengo yatakayojengwa baadaye yana umuhimu gani zaidi ya uhai wa wapalestina sasa hivi? acha undezi aisee...
Ndiyo maana nakuambia huu uzi ni mzito kwako mbona misaada ipo Misri mpakani hapo mpaka inaharibika Bwana wenu hataki iingie Gaza. Najichosha tu kujadiliana punguani kama wewe wala hufahamu lolote unaleta ushabiki mandazi.
 
HAMAS huwa wakiuawa mdugu zao huwageuza kuwa wanawake wajawazito, vijana wafanyabiashara, madaktari, maderava wa Ambulance, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, Waandishi wa habari n.k.
Sijakuelewa.
 
Waambie Saudi 🇸🇦, 🇮🇷, 🇸🇾, etc etc wachangie gharama za hao uliowataja, why mabeberu wachangie?,kuna vita syria, wanakimbilia Germany, why wasikimbilie iran?
Waisrae wengi humu ni mapunguani mbona wanachangia tafuta habari utajua wanatoa kiasi gani.
 
Ndiyo maana nakuambia huu uzi ni mzito kwako mbona misaada ipo Misri mpakani hapo mpaka inaharibika Bwana wenu hataki iingie Gaza. Najichosha tu kujadiliana punguani kama wewe wala hufahamu lolote unaleta ushabiki mandazi.
Bwana wetu tena?
 
Asanteni Hamas na Wapalestina
Umedhihirisha sura za kweli za wanaoitwa wastaarabu
Kufichua waliokata ufadhili wa @UNRWA bcz inatoa msaada kwa wahasiriwa wa mauaji ya kimbari.
Umefichua ushujaa wa "Khalifa wa Kiislamu" Erdoğan ambaye alikuwa anadai kuwa Osman Ghazi toleo la 2.
Umefichua unafiki wa viongozi wa Kiarabu wanaojificha chini ya ulinzi wa Marekani kutokana na hofu ya Wahothi badala ya kuwasaidia Wapalestina.
Umedhihirisha ushujaa wa Wayemeni ambao wanasimama kuwalinda wanaodhulumiwa licha ya matatizo yao wenyewe
Na umeionyesha dunia nzima kuwa demokrasia yote inayong'aa ni uwongo na jinsi kundi dogo la wazayuni wanavyotawala dunia nzima.
 
Wao ni lairs "yale mataifa" kwamba kujificha nyuma ya kutuma misaada walikuwa wale nyuma ya zionist killer squad. Waache waone jinsi uchumi wao nao ungeporomoka kwa sababu walikuwa wanatumia rasilimali za mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom