GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hao sio wafanyakazi ni mqgaidi wa qhamas ambao waliajiriwa UNRWAIsrael ilipowaua wafanyakazi 152 wa UNRWA, hakukuwa na lawama za Magharibi.
Baada ya uamuzi wa ICJ, serikali za Magharibi ziliacha kufadhili UNRWA, ambayo inawalisha watoto wa Gaza waliokuwa na njaa. Walirejelea madai yaliyotolewa na serikali ya mauaji ya halaiki kuhusu wafanyikazi 12.
View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1751369840315473943?t=68jbyvmriBErsT9tNxE6IA&s=19