GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hao sio wafanyakazi ni mqgaidi wa qhamas ambao waliajiriwa UNRWAIsrael ilipowaua wafanyakazi 152 wa UNRWA, hakukuwa na lawama za Magharibi.
Baada ya uamuzi wa ICJ, serikali za Magharibi ziliacha kufadhili UNRWA, ambayo inawalisha watoto wa Gaza waliokuwa na njaa. Walirejelea madai yaliyotolewa na serikali ya mauaji ya halaiki kuhusu wafanyikazi 12.
Kumbe sikWatu duniani wapenda haki wameishaanza kuchanga hata dola 1 unaweza kutuma. Hoja siyo mashoga ni kusema uongo dunia ipo wqzi siku hizi.
View: https://x.com/drloupis/status/1751587337681658156?s=46&t=mTROWpaJUT8H393J
Tuhuma hizo ni nzito....kama zisingekuwa nzito wafanyakazi 12 wasingefukuzwa.Wewe wala hujui chochote huu uzi umekuzidi umri nenda jukwaa lako la mipasho watu wanapiga kusema kuwa UNRWA ni magaidi walihusika na mashambulizo Oct 7
Watetee vizuriWewe wala hujui chochote huu uzi umekuzidi umri nenda jukwaa lako la mipasho watu wanapiga kusema kuwa UNRWA ni magaidi walihusika na mashambulizo Oct 7
Ndiyo maana nakuambia huu uzi umekuzidi umri ungekuwa unaufahamu usingeuliza unaleta ushabiki mandanzi hao uliowataja wanatoka michango mikubwa Gaza uwe unajisomea , Qatar yeye kaishaaema Gaza ataijenga yeye wewe pambana kujitibu UTI.Qatar, Saudia arabia wako wapi mpaka watu wachangie dola 1?
Mwenye UTI ya ubongo ni wewe. Masaada unahitajika sasa hivi kuokoa hao 2M wanaokabiliwa na baa la njaa....majengo yatakayojengwa baadaye yana umuhimu gani zaidi ya uhai wa wapalestina sasa hivi? acha undezi aisee...Ndiyo maana nakuambia huu uzi umekuzidi umri ungekuwa unaufahamu usingeuliza unaleta ushabiki mandanzi hao uliowataja wanatoka michango mikubwa Gaza uwe unajisomea , Qatar yeye kaishaaema Gaza ataijenga yeye wewe pambana kujitibu UTI.
UNRWA ni Hamas. Hospitali hizo ni Hamas. Ambulances ni Hamas. Waandishi hao wa habari ni Hamas. Shule hizo ni Hamas. Afrika Kusini ni Hamas. Watu wanaotweet mambo machafu kuhusu Israel ni Hamas. Kimsingi kila kitu Israel na wafuasi wake wanataka kuua ni Hamas.Mwenye UTI ya ubongo ni wewe. Masaada unahitajika sasa hivi kuokoa hao 2M wanaokabiliwa na baa la njaa....majengo yatakayojengwa baadaye yana umuhimu gani zaidi ya uhai wa wapalestina sasa hivi? acha undezi aisee...
HAMAS huwa wakiuawa mdugu zao huwageuza kuwa wanawake wajawazito, vijana wafanyabiashara, madaktari, maderava wa Ambulance, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, Waandishi wa habari n.k.Israel ilipowaua wafanyakazi 152 wa UNRWA, hakukuwa na lawama za Magharibi.
Baada ya uamuzi wa ICJ, serikali za Magharibi ziliacha kufadhili UNRWA, ambayo inawalisha watoto wa Gaza waliokuwa na njaa. Walirejelea madai yaliyotolewa na serikali ya mauaji ya halaiki kuhusu wafanyikazi 12.
Ndiyo maana nakuambia huu uzi ni mzito kwako mbona misaada ipo Misri mpakani hapo mpaka inaharibika Bwana wenu hataki iingie Gaza. Najichosha tu kujadiliana punguani kama wewe wala hufahamu lolote unaleta ushabiki mandazi.Mwenye UTI ya ubongo ni wewe. Masaada unahitajika sasa hivi kuokoa hao 2M wanaokabiliwa na baa la njaa....majengo yatakayojengwa baadaye yana umuhimu gani zaidi ya uhai wa wapalestina sasa hivi? acha undezi aisee...
Waisrae wengi humu ni mapunguani mbona wanachangia tafuta habari utajua wanatoa kiasi gani.Waambie Saudi 🇸🇦, 🇮🇷, 🇸🇾, etc etc wachangie gharama za hao uliowataja, why mabeberu wachangie?,kuna vita syria, wanakimbilia Germany, why wasikimbilie iran?
Bwana wetu tena?Ndiyo maana nakuambia huu uzi ni mzito kwako mbona misaada ipo Misri mpakani hapo mpaka inaharibika Bwana wenu hataki iingie Gaza. Najichosha tu kujadiliana punguani kama wewe wala hufahamu lolote unaleta ushabiki mandazi.
Huwezi ukaelewaSijakuelewa.