Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)

naaam uchambuzi maridadadiii na maridhawa kabisa kutoka kwa Repoooorta wetu wa Kisiju apo mchamba wima πŸ‘πŸ‘
 
China hawaingiliagi vita acha uwongo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Inakadiriwa Israel kuwa tactila nuclear warhead 80, huku kwa Iran ikiwa ni 0.

Ni ngumu nchi za kiarabu kumgusa Israel, kitu kinaitwa Nuclear ni kipengele kingine unless uwe na guts kama za magharibi walivyomtuliza Putin na nuclear zake.
Umemuona Putin China juzi. Pembeni wasaidizi wake na briefcases za kuactivate Nuclear kama anavyofanya Biden.

Hofu ni vita kusambaa na kuwa vivutio vya wakubwa wanaimiliki Nuclear. Ukizingatia kuna kiporo cha Vita vya Ukraine ambako juzi makumi ya wanajeshi wa Israel wametoka huko kuja kusaidia nchi yao. Walikuwa wanatrain wanajeshi wa Ukraiene dhidi ya Russia.
Na msemaji mmoja Wa israel juzi akihojiwa na RT anafoka kuwa wakishinda Gaza wanarudi kuhakikisha Russia inashindwa Ukraine.
 
Sina hakika! Russia haiwezi kutoa support kwa Iran kutumia vituo vyake vya kijeshi vilivyoko Syria kusafirisha silaha kwenda kuipiga Israeli.
Russia haiwezi kujiingiza kwenye mgogoro huo wakati ina mgogoro mwingine na Ukraine.
 
Naona reptilian family wanabipu, ili kukamilisha lengo lao pale mradi wa blue beam,cern project,haarp na chemstrail zikifeli kuleta new world order basi solution ya mwisho ni vita vya tatu vya dunia vyenye kuhusisha mabomu ya nyuklia. MUNGU atusaidie πŸ™πŸ™πŸ™
 
Blinken continues to try and link Russia and Hamas. The Biden WH understands that the only way they can remain in power is to escalate war and create chaos.
 
Hii ni vita ngumu sana sana pale middle east , tuombee amani na busara irudi kwa wafanya maamuzi na wahusika wakuu na waache kuchochea mzozo kuzidi zaidi .
 
Mkuu hili ni jukwaa lakimataifa.
Sasa unataka tujadili mambo ya Singida huku. Mbona thread za kisiasa na kitaifa ndio zinaongoza jf nzima.

Pia huwezi kujifunza mambo ya kitaifa kama unapuuza ya kimataifa. Taifa litakuwa la kijinga.
Fair enough mkuu, message ninayoituma hapa kwenye mada yako ya kimataifa ni kuangalia upande wa pili wa coin, Tanzania tumejitolea sana kimataifa na end of the day tunakua short changed, President Nyerere alivunja uhusiano na UK kisa issue ya Zimbabwe, sasa sisi kama watanzania tumenufaika nini?leo ukikamatwa na passport ya kitanzania yenye expired visa ndani ya zimbos unaumia vibaya, Mozambique in late 90s walituwekea visa (hadi transit one),majukwaa ya wenzetu ya kimataifa wanajadili opportunities za kimaisha kwa vijana wao, elewa DRC ndio future ya Afrika kibiashara, but sasa wanaamua kutumia walvis Bay kama bandari yao, wakati Dar ni karibu zaidi, watanzania tupo busy na yasiyotuhusu, kupata tajiri mwingine mzawa ndani ya Tanzania hii ni ndoto kwa sasa, hamas wameamua to poke a bear kwa kutumia fimbo badala ya RPG ni stupid move
 
Nb:
Meli hizo za kichina zinaripotiwa kua zilikuepo middle east kama miezi 4 hivi sasa
 
Emu fafanua hivyo vitu ulivyoviandika anza na Reptilian family ni akina nani?
 
Sawa.
 
Kuepuka hivi vita ni kuendelea kumbembeleza, kumdekeza huyu kichaa put-in. Ana nyege sana na nuclear huyu kenge
 
Dogo wacha kujiliwaza. Hao HAMAS, Wapalestina na Waarabu wakijichanganya watakuwa "wiped out"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…