Fair enough mkuu, message ninayoituma hapa kwenye mada yako ya kimataifa ni kuangalia upande wa pili wa coin, Tanzania tumejitolea sana kimataifa na end of the day tunakua short changed, President Nyerere alivunja uhusiano na UK kisa issue ya Zimbabwe, sasa sisi kama watanzania tumenufaika nini?leo ukikamatwa na passport ya kitanzania yenye expired visa ndani ya zimbos unaumia vibaya, Mozambique in late 90s walituwekea visa (hadi transit one),majukwaa ya wenzetu ya kimataifa wanajadili opportunities za kimaisha kwa vijana wao, elewa DRC ndio future ya Afrika kibiashara, but sasa wanaamua kutumia walvis Bay kama bandari yao, wakati Dar ni karibu zaidi, watanzania tupo busy na yasiyotuhusu, kupata tajiri mwingine mzawa ndani ya Tanzania hii ni ndoto kwa sasa, hamas wameamua to poke a bear kwa kutumia fimbo badala ya RPG ni stupid move