kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki.Kwanza kabisa hakuna ndege ya Israel ilotia mguu Iran zote ziliishia anga la Iraq na Syria ikisha zikarusha kuelekea kwenye hizo targets za Iran
Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita
Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran
We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote kwa ufanisi 99.9%
Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.
Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!
Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 halafu unaishia tu anga la Syria na Iraq kisha unafyatua makombora kuelekea Iran ni mantiki gani? Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran
Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.
Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran
Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran kwa kusimamisha ndege kwenye Anga la Iraq, Syria au Saudi Arabia bora wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kushindwa kuingiza ndege Iran ni aibu kubwa
My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!! Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora Shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Hii mbinu naona Israel kaitumia tena, kwasababu kuna kipindi aliishambulia Syria kama mara mbili hivi akawa anatumia anga la Lebanon anakaa juu kwenye anga la Lebanon kisha anafyatua makombora kuelekea Syria hadi Lebanon wakaenda kulalamika UN...Sasa naon alijua kabisa kupeleka F-16 au F-35 ndani ya Anga la Iran zingetunguliwa zote na kuangushwa na ingekua ni aibu zaidi ya hii ya leo na wangepoteza soko la hizo ndege kitu ambacho hawawezi kukimudu, Inafahamika wazi kuwa hizo ndege 100 zingeingia Iran hakuna hata moja ingerudi maana mfumo wa bavar 373, S-300 na S-400 ni mifumo hatari sana ya ulinzi inaweza kupiga hadi targets 100 kwa mpigo mmoja ndo maana Israel akaishia kwenda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran
[emoji298]️ATTENTION:
[emoji1130][emoji1134] According to our estimates, Israeli warplanes did not enter Iranian airspace. Instead, they launched missiles from outside Iran’s borders, possibly from Iraq, Syria, or Saudi Arabia.
This approach may have been chosen to avoid risking their aircraft.