Israel wameaibika, Iran wamezima shambulizi zima kama nchi tujifunze

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Kwanza hakuna ndege ya Israel iloingia kwenye anga la Iran wameishia kutuma ndege mpaka Iraq karibia na mpaka wa Iraq kisha ndege zao kufyatua makombora kuelekea Iran.

Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki.Kwanza kabisa hakuna ndege ya Israel ilotia mguu Iran zote ziliishia anga la Iraq na Syria ikisha zikarusha kuelekea kwenye hizo targets za Iran

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote kwa ufanisi 99.9%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 halafu unaishia tu anga la Syria na Iraq kisha unafyatua makombora kuelekea Iran ni mantiki gani? Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran kwa kusimamisha ndege kwenye Anga la Iraq, Syria au Saudi Arabia bora wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kushindwa kuingiza ndege Iran ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!! Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora Shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Hii mbinu naona Israel kaitumia tena, kwasababu kuna kipindi aliishambulia Syria kama mara mbili hivi akawa anatumia anga la Lebanon anakaa juu kwenye anga la Lebanon kisha anafyatua makombora kuelekea Syria hadi Lebanon wakaenda kulalamika UN...Sasa naon alijua kabisa kupeleka F-16 au F-35 ndani ya Anga la Iran zingetunguliwa zote na kuangushwa na ingekua ni aibu zaidi ya hii ya leo na wangepoteza soko la hizo ndege kitu ambacho hawawezi kukimudu, Inafahamika wazi kuwa hizo ndege 100 zingeingia Iran hakuna hata moja ingerudi maana mfumo wa bavar 373, S-300 na S-400 ni mifumo hatari sana ya ulinzi inaweza kupiga hadi targets 100 kwa mpigo mmoja ndo maana Israel akaishia kwenda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran

[emoji298]️ATTENTION:

[emoji1130][emoji1134] According to our estimates, Israeli warplanes did not enter Iranian airspace. Instead, they launched missiles from outside Iran’s borders, possibly from Iraq, Syria, or Saudi Arabia.

This approach may have been chosen to avoid risking their aircraft.
 
Unaongea haya kutokea kwenye kitanda chako cha kamba na simu yako ya tecno .......unadhani kurusha ndege 100 ni kama kura embe ng'ong'o na mabungo?..........subiri wenyewe waseme futa wamepakwa wapi
 
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!
Utakuwa na uelewa mdogo sana.

Iran imesema shambulio limeleta madhara madogo, wewe unasema hakuna madhara!! Wewe ni mzima? Unashindwa hata kukariri tu tamko la Iran?

Mwezi April Israel haikuishambulia Iran kwa drones, bali iliupiga mtambo wa ulinzi wa anga wa Iran kwa ndege.
 
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!
Sasa huoni aibu kama ndege zote za Israel zinaingia kwenye anga la Iran na kutoka salama huoni ni aibu hiyo
 
Iran wamekiri madhara yapo machache ila mfia dini wa mchamba wima unasema madhara hakuna
 
Israel reportedly warned Iran in advance of attack​

Reporting from Amman, Jordan
Al Jazeera is reporting from Jordan because it has been banned from Israel and the occupied West Bank.
Israel has stated that all their aircraft, which were guided by intelligence and involved in the attack on Iran, have safely returned to Israel.
In the hours leading up to these details, we heard some information about how precisely this strike was approved.

We learned that on Friday evening, a call took place during which ministers from Israel’s cabinet spoke with Israeli Defense Minister Yoav Gallant and Prime Minister Benjamin Netanyahu, who then approved the strike plans.
We also know they had been briefed in the days leading up to this call on the parameters of the strike plan regarding Iran.

Another interesting detail we’ve learned is that reports in Israeli media, quoting unnamed Israeli officials, indicate that Israel sent a message to Iran on Friday – before the strike, warning Iran not to retaliate. The reports do not specify how this message was delivered or who conveyed it, only that the message was sent.

That aligns closely with the rhetoric in the statements released by the Israeli army, which have all warned Iran not to retaliate.

They have stated that the retaliation against Iran is over and that they do not want further retaliation from Iran.
Click here to share on social media

DJ walete wale waliosema Israel hawezi kurusha hata jiwe Iran. Anga ya Iran ipo wazi sana ndege za Israel zimeingia na kufanya yake na kuondoka. Netanyau kamvua Ayatollah dera kwa mara nyingine baada ya kumuua Ismail Haniya kwenye guest house inayolindwa na Makomando wa Iran.
 
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki

Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita

Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran

We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%

Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.

Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!

Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran

Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.

Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran

Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa

My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!
Mnavyoshadadia vita utafikiri wanaokufa huko ni mbuzi
 
JESUS is love wotibilis wotibilis wotibilis FOOOGHEEEE

Nyau de adriz
 
Subutu yako wamepigika kisawa sawa, subiri nikuwekee video uone kazi!.
Tena walikuwa wanagongwa sehemu nyeti tu mfano, Airport N. K.
 
Hiyo ni mihemko ya Ushabiki!
Israel ilichofanya ni kuharibu rada za Iran zilizoko Syria ambazo Irani imekuwa ikizitumia ku monitor shuguli za kijeshi za Israel.
Baada ya hapo ndiyo ndege za Israel zikaenda kushambulia Iran bila kuonekana kwenye Rada! Zimejipigia targets za kijeshi ndani ya Iran kama zilivyotaka!
Subiri taarifa ya uharibifu.
 
FAILED OPERATION katika UBORA WAO
FB_IMG_17299215508377794.jpg
 
Hiyo ni mihemko ya Ushabiki!
Israel ilichofanya ni kuharibu rada za Iran zilizoko Syria ambazo Irani imekuwa ikizitumia ku monitor shuguli za kijeshi za Israel.
Baada ya hapo ndiyo ndege za Israel zikaenda kushambulia Iran bila kuonekana kwenye Rada! Zimejipigia targets za kijeshi ndani ya Iran kama zilivyotaka!
Subiri taarifa ya uharibifu.
Nafurahi umeeleza vizuri sana!, Tactical issue, matter, Anti misile hupokea signal toka kwenye radar, watu hawana tactical za kijeshi wanaleta tu ushabiki hapo, very poor! Ndiyo maana wamekwenda wamebutua wanapotaka wakajirudia kimya kama wametoka mbugani kuangalia wanyama! 😁
 
Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora

Kumbe shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Badala yake zilienda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran

Back
Top Bottom