Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU

Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah

Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa Israel na Lebanon na kuzuia vita kamili.

Hezbollah ilimfahamisha Borell kwamba hakutakuwa na mijadala kuhusiana na eneo la Lebanon hadi vita dhidi ya Gaza vikomeshwe, na ikasisitiza kwamba hawatarudi nyuma hata inchi moja kutoka eneo la Lebanon.

*Wanajaribu kwa nguvu zao zote kuilinda Israel inapofanya mauaji ya halaiki huko Gaza

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1743692631773688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ngoma ngumu huko wametema bungo, siyo Gaza huko wanapigana na Watoto na wagonjwa.

Jamaa wana kila kitu wana makombora, ya kila aina wana ndege za kivita wana drone za kila aina wana makombora ya kutungua ndege.
 
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU

Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah

Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa Israel na Lebanon na kuzuia vita kamili.

Hezbollah ilimfahamisha Borell kwamba hakutakuwa na mijadala kuhusiana na eneo la Lebanon hadi vita dhidi ya Gaza vikomeshwe, na ikasisitiza kwamba hawatarudi nyuma hata inchi moja kutoka eneo la Lebanon.

*Wanajaribu kwa nguvu zao zote kuilinda Israel inapofanya mauaji ya halaiki huko Gaza

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1743692631773688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

kipigwe kwanza tuone madhara yake ili tuone kuna umuhimu gani kusitisha ivyo vitasa
 
Tena bado sana, mpaka Golan Heights irudi
Syria nao waliamshe tu
Yaani safari hii myahudi hawamtaki kila mahali ni cancer inayotapakaa kila mahali
🇺🇸 hawawataki wameambiwa kwao ndio hapo na Israel ikawaita kuja kuwadhulumu ardhi wakazi wa hapo
Sasa wanaikimbia tena ardhi waliyoichukua kibabe mpaka kukata na miti ya Olives yote
Wameuwa miaka na miaka ila leo pamekuwa pachungu
Kuna vijana humu wamedandia ya juzi tu Hamas, ila Israel ameuwa miaka
 
Israel kapiga marufu vyombo vyao vya habari kutangaza chochote wameuliwa majenerali wengi tu na wanajeshi wanaficha ukiona Israel anaomba vita viishe ujue hali tete. Huko Gaza wanapigana na watoto na wagonjwa Hamas hawana silaha zozote za maana lakini angalia mwezi wa tatu sasa wamenasa.
 
20230825_232647.jpg
🤣🤣🤣🤣
 
naelewa na natamani waende na huko Hezbolah mashoga yakapigwe mashine mpk wachakae kabisa
 
Tena bado sana, mpaka Golan Heights irudi
Syria nao waliamshe tu
Yaani safari hii myahudi hawamtaki kila mahali ni cancer inayotapakaa kila mahali
🇺🇸 hawawataki wameambiwa kwao ndio hapo na Israel ikawaita kuja kuwadhulumu ardhi wakazi wa hapo
Sasa wanaikimbia tena ardhi waliyoichukua kibabe mpaka kukata na miti ya Olives yote
Wameuwa miaka na miaka ila leo pamekuwa pachungu
Kuna vijana humu wamedandia ya juzi tu Hamas, ila Israel ameuwa miaka
Hamas wamemchosha vya kutosha ambao Hawana hata kifaru,,, Hezbollah ameingia kati,,,kesho sijui nani atafuata.ukumbuke kule waouth wanafunga njia.
 
Back
Top Bottom