Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

Hamas wamemchosha vya kutosha ambao Hawana hata kifaru,,, Hezbollah ameingia kati,,,kesho sijui nani atafuata.ukumbuke kule waouth wanafunga njia.
Kiboko ya Houthi maana wao wanapiga mifuko yao tu
Na kuumiza uchumi wao
🇺🇸 na wanafiki wenzake walikuwa wanafurahia wayemen wakifa bila kuingilia kati
Upepo umegeuka sasa
Na safari hii myahudi hana pa kwenda hata wazungu hawamtaki
 
Gaza tamka Khazaa.Huo ukanda kuna wajeuri sana na masugu wa maisha.
 
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU

Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah

Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa Israel na Lebanon na kuzuia vita kamili.

Hezbollah ilimfahamisha Borell kwamba hakutakuwa na mijadala kuhusiana na eneo la Lebanon hadi vita dhidi ya Gaza vikomeshwe, na ikasisitiza kwamba hawatarudi nyuma hata inchi moja kutoka eneo la Lebanon.

*Wanajaribu kwa nguvu zao zote kuilinda Israel inapofanya mauaji ya halaiki huko Gaza

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1743692631773688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://x.com/TheHarrisSultan/status/1743415285330464953?s=20
 
Kiboko ya Houthi maana wao wanapiga mifuko yao tu
Na kuumiza uchumi wao
🇺🇸 na wanafiki wenzake walikuwa wanafurahia wayemen wakifa bila kuingilia kati
Upepo umegeuka sasa
Na safari hii myahudi hana pa kwenda hata wazungu hawamtaki
Israel hii vita kajichafua sana na anazidi kupoteza ushawishi kila kukicha.

West walivyokuwa wajinga bado wana fikra ya kuwa dunia bado inawasikiliza kumbe dunia imeshabadilika.

Wamemtuma rais wa EU Hizbullah ili itulie katolewa nje. Nasikia imetumwa Ufaransa sasa kwa vile Lebanon ilikuwa ni koloni lake nasikia naye Mfansa katolewa nje.

Israel kinguvu ya kijeshi bado sana kupigana hawawezi. Wakipigana na Hizbullah watachapika vibaya! Na ninavyowajua wayahudi wataikimbia nchi ile!

Vita tu hii na Hamas takribani wanajeshi 3000 wa Israel wamepata matatizo ya afya ya akili. Na eneo lenyewe ni Gaza.

Israel kwa usalama wake ni lazima akubali kushindwa hii vita. Hali ni mbaya zaidi.
 
kujifariji ni muhimu sana..... wantufunga sana ka npira a kikapu japo chenga twawala🤣😆
 
Hii vita ni Israeli kaianzisha kwa mgongo wa Marekani na ni wao wenye uwezo wa kuamua waisitishe au waendelee.

Marekani na nchi zingine za Magharibi hawafahamu wafanye nini.

Wote watambua kuwa Hezbollah ya 2024 si ile Hezbollah ya 2006.
Israel mbona ishasema waziiii vita itaendelea......toka mwanzoni Nyahu alishasema ni vita ya muda mrefu na ngumu.....
 
Israel wanakufa kinoma
Ngoma ngumu huko wametema bungo, siyo Gaza huko wanapigana na Watoto na wagonjwa.

Jamaa wana kila kitu wana makombora, ya kila aina wana ndege za kivita wana drone za kila aina wana makombora ya kutungua ndege.
Unaambiwa hawajaua hamas hata mmoja wanaua wanawake na watoto tu.Hizbullah wameua mazayuni laki moja.Allah akbar
 
Israel hii vita kajichafua sana na anazidi kupoteza ushawishi kila kukicha.

West walivyokuwa wajinga bado wana fikra ya kuwa dunia bado inawasikiliza kumbe dunia imeshabadilika.

Wamemtuma rais wa EU Hizbullah ili itulie katolewa nje. Nasikia imetumwa Ufaransa sasa kwa vile Lebanon ilikuwa ni koloni lake nasikia naye Mfansa katolewa nje.

Israel kinguvu ya kijeshi bado sana kupigana hawawezi. Wakipigana na Hizbullah watachapika vibaya! Na ninavyowajua wayahudi wataikimbia nchi ile!

Vita tu hii na Hamas takribani wanajeshi 3000 wa Israel wamepata matatizo ya afya ya akili. Na eneo lenyewe ni Gaza.

Israel kwa usalama wake ni lazima akubali kushindwa hii vita. Hali ni mbaya zaidi.
Wapigwe tu mashoga hao, na wengi wameuwawa haswa wale majemedari wao waliokuwa wanasema tutawasafisha ila wao ndio wamekufa sana
Mungu Mkubwa,
Hamas kawatoa kamasi wanaota mahandaki tu maana vijana wanaibuka tu na kuwamaliza
Acha wawehuke sana mbwa hao
 
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU

Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah

Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa Israel na Lebanon na kuzuia vita kamili.

Hezbollah ilimfahamisha Borell kwamba hakutakuwa na mijadala kuhusiana na eneo la Lebanon hadi vita dhidi ya Gaza vikomeshwe, na ikasisitiza kwamba hawatarudi nyuma hata inchi moja kutoka eneo la Lebanon.

*Wanajaribu kwa nguvu zao zote kuilinda Israel inapofanya mauaji ya halaiki huko Gaza

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1743692631773688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Huo ujumbe wala haukutoka kwa Israel. EU wameenda kuwasihi Hezbollah kusitisha mashambulizi yao wakijua Israel akiigeukia Lebanon, nako kutakuwa na kilio kama Gaza.

Hezbollah wamekuwa wakishambulia Israel na Israel imekua ikijizuia kurudisha ikiacha UN ifanye jukumu lao kama ilivyokubaliwa mwaka 2006, lakini UN imeshindwa kuwadhibiti wala kuwakemea Hezbollah. EU imeingilia kwa good faith ili baadaye watu wasije wakaanza kulia na kusema wapo kimya.
Israel kwa sasa imeshaamua kugeukia Lebanon na ni swala la muda. EU imeshaina hatari inayoenda kutokea ndiyo maana mapema wanachukua hatua, ninyi mnashangilia kama ilivyokuwa Gaza halafu baadaye vilio vianze.
Ngoja tuone.
 
kujifariji ni muhimu sana..... wantufunga sana ka npira a kikapu japo chenga twawala🤣😆
Kuna kitu kimoja inabidi ukifahamu. Kama unataka kuchukua eneo na kuanzisha utawala wako inakubidi ufanye sweeping.

Kupiga piga mabomu labda hilo eneo uwe hauna mpango nalo. Ila kama una mpango nalo sweeping inakuhusu tu. Na kama inakuhusu ni lazima umwage askari chini.

Sasa hiyo sweeping ndiyo inayomshinda Israel. Kwa sababu ni mapigano magumu na yanayohitaji ujasiri.

Eneo ambalo Israel wamelizunguka lote na eneo ambalo ni dogo kama Kigamboni. Miezi takribani 3 wamechukua 30% tu. Eneo ambalo lina wana mgambo wa ardhini tu. Sasa hapo utasema kuna jeshi?

Kingine ni kwamba Israel inaiogopa sana Hizbullah. Kwa sababu inajua itapambana na kundi lenye uwezo sawa na wao; wote wana jeshi la anga, ardhini, nchi kavu n.k tofauti na Hamas.
 
Wapigwe tu mashoga hao, na wengi wameuwawa haswa wale majemedari wao waliokuwa wanasema tutawasafisha ila wao ndio wamekufa sana
Mungu Mkubwa,
Hamas kawatoa kamasi wanaota mahandaki tu maana vijana wanaibuka tu na kuwamaliza
Acha wawehuke sana mbwa hao
Mungu anisamehe!
Ila wayahudi wazayuni siwapendi abadani! Wale watu wana roho mbaya sana. Sisi binadamu wengine wanatuona kama takataka.

Wapigwe tu!
 
Israel wanakufa kinoma

Unaambiwa hawajaua hamas hata mmoja wanaua wanawake na watoto tu.Hizbullah wameua mazayuni laki moja.Allah akbar
allah ana nguvu kaacha gaza iwe magofu halaf ataijenga tena kwa kutumia majini majinun 🤣😆😂
 
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU

Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah

Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa Israel na Lebanon na kuzuia vita kamili.

Hezbollah ilimfahamisha Borell kwamba hakutakuwa na mijadala kuhusiana na eneo la Lebanon hadi vita dhidi ya Gaza vikomeshwe, na ikasisitiza kwamba hawatarudi nyuma hata inchi moja kutoka eneo la Lebanon.

*Wanajaribu kwa nguvu zao zote kuilinda Israel inapofanya mauaji ya halaiki huko Gaza

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1743692631773688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Leo Hezbollah kawachapa base yao ya kujikinga kwa anga na kawaambia hiyo ni mwanzo tu, mchezo kamili bado:

Mungu anisamehe!
Ila wayahudi wazayuni siwapendi abadani! Wale watu wana roho mbaya sana. Sisi binadamu wengine wanatuona kama takataka.

Wapigwe tu!
We si wa kwanza kuwachukia na hutokua wa mwisho kuwachukia maana imeandikwa "mtachukiwa kwa ajili ya jina langu" uzuri ni kuwa hatima yao wayahudi ni nzuri tena nzuri kupindukia na wapalestina daima wataendelewa kuwa chini ya wayahudi🤣😆😂
 
Back
Top Bottom