Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

Huo ujumbe wala haukutoka kwa Israel. EU wameenda kuwasihi Hezbollah kusitisha mashambulizi yao wakijua Israel akiigeukia Lebanon, nako kutakuwa na kilio kama Gaza.

Hezbollah wamekuwa wakishambulia Israel na Israel imekua ikijizuia kurudisha ikiacha UN ifanye jukumu lao kama ilivyokubaliwa mwaka 2006, lakini UN imeshindwa kuwadhibiti wala kuwakemea Hezbollah. EU imeingilia kwa good faith ili baadaye watu wasije wakaanza kulia na kusema wapo kimya.
Israel kwa sasa imeshaamua kugeukia Lebanon na ni swala la muda. EU imeshaina hatari inayoenda kutokea ndiyo maana mapema wanachukua hatua, ninyi mnashangilia kama ilivyokuwa Gaza halafu baadaye vilio vianze.
Ngoja tuone.
Hivi ww unadhani vita kati ya Hizbulah na Israel itakuwa kama ya gaza ya kwamba Israel itakuwa inajichagulia pa kupiga eti?
Au unadhani Hizbulah wana vijiroketi vya kienyeji kama Hamas?

Hiyo vita ikitokea itasababisha maafa ambayo wenda ambayo hayajawahi kuoneka hapo mashariki ya kati.
 
Hayo huwa ndiyo maneno yenu siku zote mambo yakiwa neutral. Hiyo vita ikitokea ni kama kawaid, itachezwa ndani ya Lebanoni. Hezibollah na Hamas wote ni migambo ma style yao ya kupigana ambayo ndiyo ngao yao kuu ni ileile ya kujificha nyuma ya raia na miundo mbinu ya kiraia badala ya kuwalinda raia.
 
Israel inacho jivunia ni jeshi lake la anga ya kwamba mkiingia vitani yeye atashambulia kutoka angani auwe watu na kufanya uharibifu, lakini kwa upande wa Hizbulah itakuwa tofauti.

Kwenye vita hiyo Lebanon itachakaa lakini pia Israel nayo itachakaa , Israel itauwa watu Lebanon na yeye raia wake watauawa hivyo hivyo.
Vita itakuwa na athari mbaya kwa pande zote kwa sababu mauaji na uharibifu utakao fanywa na Israel kwa kutumia jeshi lake la anga , pia Hizbulah ana uwezo wa kufanya kwa kutumia makombora ya kisasa aliyo nayo, pia Hizbulah ina mpaka makombora ya kuzamisha meli.
 
Huo ujumbe wala haukutoka kwa Israel. EU wameenda kuwasihi Hezbollah kusitisha mashambulizi yao wakijua Israel akiigeukia Lebanon, nako kutakuwa na kilio kama Gaza.

Hezbollah wamekuwa wakishambulia Israel na Israel imekua ikijizuia kurudisha ikiacha UN ifanye jukumu lao kama ilivyokubaliwa mwaka 2006, lakini UN imeshindwa kuwadhibiti wala kuwakemea Hezbollah. EU imeingilia kwa good faith ili baadaye watu wasije wakaanza kulia na kusema wapo kimya.
Israel kwa sasa imeshaamua kugeukia Lebanon na ni swala la muda. EU imeshaina hatari inayoenda kutokea ndiyo maana mapema wanachukua hatua, ninyi mnashangilia kama ilivyokuwa Gaza halafu baadaye vilio vianze.
Ngoja tuone.
Hizo fikra zako JF ni jukwaa huru unaweza kuandika chochote unachojisikia.
 
Israel inacho jivunia ni jeshi lake la anga ya kwamba mkiingia vitani yeye atashambulia kutoka angani auwe watu na kufanya uharibifu, lakini kwa upande wa Hizbulah itakuwa tofauti.

Kwenye vita hiyo Lebanon itachakaa lakini pia Israel nayo itachakaa , Israel itauwa watu Lebanon na yeye raia wake watauawa hivyo hivyo.
Vita itakuwa na athari mbaya kwa pande zote kwa sababu mauaji na uharibifu utakao fanywa na Israel kwa kutumia jeshi lake la anga , pia Hizbulah ana uwezo wa kufanya kwa kutumia makombora ya kisasa aliyo nayo, pia Hizbulah ina mpaka makombora ya kuzamisha meli.
Sasa kama Hao Hezibollah wanajivunia populatiin ya watu ambayo ndiyo human shield yao na tegemea kubwa, ulitaka Israel wasijuvunie Jeshi lao la anga?
Kama raia waisrael watakufa na Israel kuchoka sasa si ndiyo vizuri? Acha kiwake tu.
 
Like kwanza Comment yangu kabla hauja reply.
Wewe upo radhi kuongea uongo kutetea Israel daaah!

Antony Blinken, na Josep Borrell wote hawa ni wapo nyuma ya Israel tunaona kwenye vita zzGaza kwenye mikutano yao wanasema Israel haaitaki vita na Hezbollah tunaomba msiingie huko kwa hii kauli wametumwa na nan? Wametumwa na Israel kinachochekesha hautaki kukubali kama Israel wametuma watu Lebanan kwa Hezbollah’ somo hii

Soma majibu ya Hezbollah’s
Nasrallah, akiwahutubia raia wa Israel moja kwa moja, katika hotuba yake kwa njia ya televisheni. "Hakutakuwa na mazungumzo isipokuwa uchokozi usitishwe huko Gaza."

Hii nimeleta kwa faidi ya JF watu wasome wewe baki na fikra zao kuwa Israel hawajatuma mtu wsome Waisarel wenyewe.
Israeli officials have hinted that the “diplomatic hourglass” is running out to reach a negotiated solution to the escalating fighting on the boundary with Lebanon, even as the war in Gaza continues at a ferocious pace.
Security sources said the Lebanese militant group Hezbollah fired the most rockets and weaponised drones on Wednesday that it had in any single day since the clashes across the border began.
 
Muda wa athari za moja kwa moja za makombora ya Hezbollah kwenye kambi ya anga ya Meron huko Kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu kumeshtua sana hawa magaidi wa Israel wanajua hawa jamaa wanaweza kupiga popote. Wametema bungo mapema tu wanawatumia mawakala wao Marekani na Ulaya wasimamishe vita, mbona Gaza hawataki vita visimame ndiyo kwanza wanatuma mabomu wanajua Hamas hawana uwezi wa kushambulia miji ya Israel pale wanauwa raia wanavyotaka
 
We si wa kwanza kuwachukia na hutokua wa mwisho kuwachukia maana imeandikwa "mtachukiwa kwa ajili ya jina langu" uzuri ni kuwa hatima yao wayahudi ni nzuri tena nzuri kupindukia na wapalestina daima wataendelewa kuwa chini ya wayahudi🤣😆😂
Heee! Unaleta udini?!
Hahahah!

Kama ule uzayuni ndiyo dini, umepotea pakubwa sana!
 
Hayo huwa ndiyo maneno yenu siku zote mambo yakiwa neutral. Hiyo vita ikitokea ni kama kawaid, itachezwa ndani ya Lebanoni. Hezibollah na Hamas wote ni migambo ma style yao ya kupigana ambayo ndiyo ngao yao kuu ni ileile ya kujificha nyuma ya raia na miundo mbinu ya kiraia badala ya kuwalinda raia.
Muoneni huyu Hizbullah wana kambi zao rasmi hapo Lebanon
Nyie kusema hamas wanajificha nyuma ya raia ni propaganda mlolishwa na mazayuni na mmeimeza kwel kwel
 
Sasa kama Hao Hezibollah wanajivunia populatiin ya watu ambayo ndiyo human shield yao na tegemea kubwa, ulitaka Israel wasijuvunie Jeshi lao la anga?
Kama raia waisrael watakufa na Israel kuchoka sasa si ndiyo vizuri? Acha kiwake tu.
Ndio maana nimekuambia kuwa vita itakuwa na maafa makubwa kwa pande zote mbili na ndio maana pande zote mbili zinajitahidi na kuepuka kuingia kwenye vita kamili.
 
Back
Top Bottom