Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Jeshi la Israel wanavyopigana kana kwamba hawana mafunzo.
Yaani askari wake wa ardhini wanafanya vitu vya ajabu sana. Nidhamu hawana halafu ni waoga wa kufa.
Kama kawaida yenu mkipigwa na kitu kizito mnaanza huu udini huu udini yaan ni muendelezo ule ule wa kulalamika 😂🤣😆Heee! Unaleta udini?!
Hahahah!
Kama ule uzayuni ndiyo dini, umepotea pakubwa sana!
Hali tete analazimishia Dirisha la kidiplomasia eti wanataka amani.😂Huo ujumbe wala haukutoka kwa Israel. EU wameenda kuwasihi Hezbollah kusitisha mashambulizi yao wakijua Israel akiigeukia Lebanon, nako kutakuwa na kilio kama Gaza.
Hezbollah wamekuwa wakishambulia Israel na Israel imekua ikijizuia kurudisha ikiacha UN ifanye jukumu lao kama ilivyokubaliwa mwaka 2006, lakini UN imeshindwa kuwadhibiti wala kuwakemea Hezbollah. EU imeingilia kwa good faith ili baadaye watu wasije wakaanza kulia na kusema wapo kimya.
Israel kwa sasa imeshaamua kugeukia Lebanon na ni swala la muda. EU imeshaina hatari inayoenda kutokea ndiyo maana mapema wanachukua hatua, ninyi mnashangilia kama ilivyokuwa Gaza halafu baadaye vilio vianze.
Ngoja tuone.
Sasa hapo ndiyo amelazimisha? Hata kuomba hajaombaHali tete analazimishia Dirisha la kidiplomasia eti wanataka amani.😂
View: https://x.com/marionawfal/status/1743923592004301149?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU
Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa Israel na Lebanon na kuzuia vita kamili.
Hezbollah ilimfahamisha Borell kwamba hakutakuwa na mijadala kuhusiana na eneo la Lebanon hadi vita dhidi ya Gaza vikomeshwe, na ikasisitiza kwamba hawatarudi nyuma hata inchi moja kutoka eneo la Lebanon.
*Wanajaribu kwa nguvu zao zote kuilinda Israel inapofanya mauaji ya halaiki huko Gaza
t.me/megatron_ron
View: https://x.com/megatron_ron/status/1743692631773688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mm binafsi naomba wadundane kwlikwli...dhaifu atashindwa tu na tunamjua...mayahudi yanaogopa Kifo kuliko kitu chchte....hakuna dhambi mbaya kama ya uonevu....siku anayeonewa akichoka huwa kunakuwa na majibu mabaya sana maana anakuwa Hana cha kupotezaKuna post huko juu za kina Antony Blinken, na Josep Borrell najua umezisoma.
So unataka Hamas waache vita? Vita vitapiganwa na njaa hivyo hivyo mpaka wenyewe watakimbia wote Gaza wewe ndiyo unaogopa njaa.Famine in Gaza ‘around the corner,’ as people face ‘highest levels of food insecurity ever recorded,’ UN relief chief says
Haahaaa 😀 😀 😀So unataka Hamas waache vita? Vita vitapiganwa na njaa hivyp hivyo mpaka wenyewe watakimbia wote Gaza wewe ndiyo unaogopa njaa.
Kipigo kinawakimbiza wenyewe Gaza wamekata maji, wamekata umeme, wamezuia chakula, wamezuoa madawa wanapiga mabomu hospital wanauwa watoto wanauwa waandishi wa habari leo wanakimbia bila mateka wao.Haahaaa 😀 😀 😀
Kipigo kinawakimbiza wenyewe Gaza wamekata maji, wamekata umeme, wamezuia chakula, wamezuoa madawa wanapiga mabomu hospital wanauwa watoto wanauwa waandishi wa habari leo wanakimbia bila mateka wao.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1743761586240524757?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Umeona wapi wanakimbia, na wewe upo Tanzania?...😀😀Kipigo kinawakimbiza wenyewe Gaza wamekata maji, wamekata umeme, wamezuia chakula, wamezuoa madawa wanapiga mabomu hospital wanauwa watoto wanauwa waandishi wa habari leo wanakimbia bila mateka wao.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1743761586240524757?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Waachie uzi wao wajifariji. Hata Hamas walisifiwa hivi mwanzoni kabla Gaza hawajaanza kuokoteleza matofali.Huo ujumbe wala haukutoka kwa Israel. EU wameenda kuwasihi Hezbollah kusitisha mashambulizi yao wakijua Israel akiigeukia Lebanon, nako kutakuwa na kilio kama Gaza.
Hezbollah wamekuwa wakishambulia Israel na Israel imekua ikijizuia kurudisha ikiacha UN ifanye jukumu lao kama ilivyokubaliwa mwaka 2006, lakini UN imeshindwa kuwadhibiti wala kuwakemea Hezbollah. EU imeingilia kwa good faith ili baadaye watu wasije wakaanza kulia na kusema wapo kimya.
Israel kwa sasa imeshaamua kugeukia Lebanon na ni swala la muda. EU imeshaina hatari inayoenda kutokea ndiyo maana mapema wanachukua hatua, ninyi mnashangilia kama ilivyokuwa Gaza halafu baadaye vilio vianze.
Ngoja tuone.
😀
Umeona wapi wanakimbia, na wewe upo Tanzania?...😀😀
Wewe upo Tanzania unaweza kusema chochote kuhusu Hamas wanaopambana na Hamas ndiyo wanajua Hamas ni nani.Waachie uzi wao wajifariji. Hata Hamas walisifiwa hivi mwanzoni kabla Gaza hawajaanza kuokoteleza matofali.
Hezbollah ishambulie tena ili uwepo ushahidi, Israel ikijibu tusisikie kelele na visingizio.
Kirby acknowledges, though, that while it’s possible for Israel to significantly degrade Hamas’s capabilities by eliminating the terror group’s leadership, the IDF won’t likely be able to “erase the group from existence.”>>>>>>>>>>>>>>>>