Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Muislam akifa au akimua mkiristo au yahudi wakati anapigania ardhi au Mali yake huyo mtu wa peponi tena ktk pepo ya juu kabisa. Lkn mkiristo akifa na ukiristo wake huyo motoni kabisa
Kwa hiyo Osama yuko peponi? Vipi kuhusu nafsi za watanzania waliouwawa 1998 ubalozi wa Marekani?
 
Uislam umefika hadi Hispania. Jee wamebakwa wazungu? Hivi sasa uislam umekuwa hadi ulaya. Jee wazungu wamebakwa? Ukifa ukiwa mkiristo au mpagani wewe ujue motoni tu

Naongea kuhusu wewe hapo, kama muarabu hangekuja kubaka wazee wetu pale Pwani unsingekua unapigia watu makelele humu kuhusu dini yake huyo muarabu.
 

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu​

Suratul maida
NI MPUMBAVU ALIYEYASEMA HAYA
 
Wazun
Naongea kuhusu wewe hapo, kama muarabu hangekuja kubaka wazee wetu pale Pwani unsingekua unapigia watu makelele humu kuhusu dini yake huyo muarabu.
History inasema wameshonari ndio waliobaka waadfrika na kusambaza ukiristo. Waislam wameujua uislamu baada ya kusoma maandiko kama wanavyofanya wazungu huko ulaya kuingia ktk uislam kwa makundi.

Ujumbe wa leo ijumaa
Mtu yoyote akifa akiwa sio muislam huyo ataingia ktk moto
 
Wazun

History inasema wameshonari ndio waliobaka waadfrika na kusambaza ukiristo. Waislam wameujua uislamu baada ya kusoma maandiko kama wanavyofanya wazungu huko
Ujumbe wa leo ijumaa
Mtu yoyote akifa akiwa sio muislam huyo ataingia ktk moto
Dini yenu ya juzijuzi ina vituko sana.
 

Ili mtu aitwe muislamu anatakiwa aweje na afanye nini?
Swali hili ndio litatoa uelekeo wa kile usemavyo ni kweli iau sio kweli
 
Mbona wavaa dera wanasema Hamas wameshinda na miili ya wanajeshi wa Israel inaokotwa huko Gaza kwa wingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…