Israel wanapiga hadi Marekani wameanza kuwaomba waache sasa

Kwa uelewa wako Issa, Yakobo, Ibrahim, Muda, Yunus walimuamini Allah na Mohamed?
Hao manabii hawamjui sio huyo Allah wala sio huyo Mohamed. Iweje useme walimuamini?
Nikwambie tu ndugu Robert hujui na bado hujaweza kujenga hoja juu ya uislam
Nabii adam kabla ya kuhamishiwa duniani kutoka peponi alipokua anakaa huko aliona jina la Muhammad s.a.w limeandikwa kama sijakosea kwenye mlango wa pepo akajua kitu mpaka kikiandikwa kule ujue hiko kinakua kitukufu na akapewa story kwa ufupi kuhusiana na Muhammad s.a.w
Na nabii mussa kama nitakua sijakosea jina la nabii aliomba dua kwakutaja jina la nabii Muhammad s.a.w
Hakuna nabii alokua hamjui nabii Muhammad s.a.w
 
Alokwambia kama Muhammad hakua anajulijana na manabii walopita nani hao
Wakati kuna manabii walikua wanatamani kua watu tu wakawaida katika ummat Muhammad kuliko kua manabii katika umma zao

Kwa hiyo uelewa wako ndio umekuambia kuwa Musa au Issa alikuwa anamjua Muhammed?
Hivi unajua unaowataja hapo ni wayahudi na huyo mmoja unayemtaja ni muarabu?
 

Nipe Rejea sasa kutoka kwenye Quran.
Alafu unajua Mungu wa Musa sio Allah?
 
Uislam umefika hadi Hispania. Jee wamebakwa wazungu? Hivi sasa uislam umekuwa hadi ulaya. Jee wazungu wamebakwa? Ukifa ukiwa mkiristo au mpagani wewe ujue motoni tu
Dini ya mnyaazi imekufanya uwe zombie
 

Hao ni wakoloni ambao walileta maendeleo ambayo tunayaona hadi leo, kosa lao lilikua kutukoloni na ndio maana tulipopigana nao, ikatokea maafa kama hayo, lakini mpaka leo unateleza kwa reli yao, umeme wao na kila walichokileta, ila nyie mazombi wenu hawakuleta chochote zaidi ya kuchukua watumwa kupitia Pwani hapo Bagamoyo na kuacha dini ya kufanya wanaume mvae madera na kuzurula huku mumeotesha mindevu.
 
Wanaonea raia tu Hamas iko makini wanaendelea kuua mazayni ya kiyahudi na huu ndio mwisho wa taifa la mchongo Israel

HAMAS ndio wamesababisha raia wauawe hadi naona ukakasi, hawapambani kama magaidi wengine wa dini yenu ambao tumezoea kuona wakipigana wao kama wao, hawa wanajificha nyuma ya wanawake na watoto.
 
Ntakupa mfano mdogo tu maana unaonekana hujui vingi kijana
Allah alipomuamrisha Muhammad kufunga alimwambia kama katuamrisha sisi kufunga kama alivyo waamrisha walokua kabla yetu unadhani walokua kabla yetu hapa walikua kina nani

Kwa uelewa wako, aliyemshushia Musa Torati ni Allah au Yahweh?
Je hizo sheria zinabadilika?
 
Tatizo liliopo Israel wanapiga nini? Wanapigiwa kelele kwasababu wanachokipiga kipo nje kibisa ktk sheria za kivita
 
Haya wape watu na historia ya mji wapwani wa daaaru ssalaaam
Waislam walikua na wataendelea kua watu bora na wema sana hapa ulimwenguni kuliko mnavyowasambazia maovu

Asingekuja huyo muarabu na kubaka wazee wetu na kupandikiza dini ya kuwafanya muwe mazombi ya kujipua mabomu, ukanda wote huo ungekua mbele sana hata kimaendeleo...
 
Kumbe umeuchukia uislam. Nilikua sijajua
 
Asingekuja huyo muarabu na kubaka wazee wetu na kupandikiza dini ya kuwafanya muwe mazombi ya kujipua mabomu, ukanda wote huo ungekua mbele sana hata kimaendeleo...

The Strange Cases of Anti-Islam Politicians Turned Muslims​

 
Ndio maana nikamwambia hujui vingi sana kuhusiana na uislamu
Nimekuuliza swali Allah aliposema tufunge kama walofunga walikua kabla yetu alikua anamaanisha nani ndio ujue kama funga ilikuepo kwa manabii walopita

Kijana hujui vingi sana kuhusiana na uislamu hata kama una nia ya kutaka kuuonesha uislam kua una mapungufu ingawaje hauna ila huja usoma kausome tena hijja ilianzia kwa nabii ibrahimu nandio alianza kuujenga mskiti wa makka pia fuatilia usiwe mkurupukaji

Hawamuamini kwa maandiko yapi au unadhani mayahudi wote wanakua makafiri

Hapa tunaongelea manabii ambao walifanya ibada zote ikwemo kusali walisali sababu walipewa vitabu na Muhammad aliambiwa afate mila ya babu au baba yake ibrahim

Taurati ni miongoni mwa vitabu vitakatifu waliopewa manabii wakabla ya Muhammad s.a.w

Utanivumilia kidogo nna kazi nafanya hapa
 
Kwa hiyo uelewa wako ndio umekuambia kuwa Musa au Issa alikuwa anamjua Muhammed?
Hivi unajua unaowataja hapo ni wayahudi na huyo mmoja unayemtaja ni muarabu?
Sasa kama waarabu na wayahudi ndio nini
Hilo lipo wazi hao nlowataja walikua wayahudi pure
Kwahio unataka kusema nini sio uelewa wangu nawala wewe usinipe uelewa wako nipe uhalisia wa maandiko kijana
 
Kwa uelewa wako, aliyemshushia Musa Torati ni Allah au Yahweh?
Je hizo sheria zinabadilika?
Sio kwa uelewa wangu kwa uhalisia wa mambo ulivyo
Sheria za uislamu zilibadilika kulingana na muda wa manabii husika mpaka zikakomea kubadilika kwa Muhammad s.a.w ndipo uislamu ukawa umekamilika hauongezeki wala kupungua kitu
 

Mwenzako nikamuuliza Mwamposa anapofunga ni muislamu?
Yesu alipofunga siku 40 ndio uislamu unavyosema?

Unajua kama huna elimu dini ni bora ukaomba kufundishwa.
Uislamu inaamrisha kufunga lakini ni mwezi wa Ramadhani. Tena kuna visheria vingine ndani ya huo mwezi.
Hao manabii kwanza hawakufuata ufungaji wa kiislamu kama unavyorajibu kuongopa hapa.
Mfano Yesu alifunga siku arobaini. Wakati Ramadhan au kalenda ya kiislamu inasiku 29 na 30.
Funga ya Wayahudi haifuati wala kufanana na funga ya waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…