Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hezbollah wamepigwa pre-emptive strikes Kijana
Huu uharo wako soma mwenyewe.Labda kukusaidia tu, naona haujaelewa chochote hapo ndugu,
1. Unaijua kazi ya Waziri wa Mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa?
2. Umeelewa ulichokiandika mwenyewe hapo aina ya uungwaji mkono anaoutaka?
3. Unaelewa kwanini anasema Israel ina haki ya kujilinda.
Ni kwamba Israel walipewa na UN eneo dogo sana, lakini kila wakishambuliwa wanawapiga adui zao na kuchukua maeneo yao. Hili la Gaza, tegemea Israel kutolirudisha eneo hilo kwa waPalestina. Litakaliwa kimabavu
Wanaukumbi.
Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel.
🚨🇱🇧🇮🇱 FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH
Waziri wa mambo ya nje Israel Katz amewaandikia makumi ya mawaziri wa mambo ya nje akitaka kuungwa mkono na hatua za Israel dhidi ya Hezbollah, Iran na washirika wao.
Katz alisisitiza kwamba mashambulizi ya IDF nchini Lebanon yalikuwa ni kujibu shambulio kubwa la kombora na ndege zisizo na rubani zilizopangwa dhidi ya Israeli.
Alisisitiza haki ya Israel ya kujilinda na kufafanua kuwa Israel haitafuti vita vya kila upande.
Chanzo: Times of Israel
View: https://x.com/marionawfal/status/1827570053052600374?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hizbullah wanna mtandao mkubwa wa mahandaki,na silaha zao nzuri,walifanya show juziHezbollah wamepigwa pre-emptive strikes Kijana
Hawezi peleka pua kule,ataishia kitima ndegeNilitegemea anayofanya Hezbollah angepigwa zaidi ya Hamas, lakini naona mambo yanakua tofauti.
Israel hawezi kupeleka vikosi lebanon babuAisee. Kiingereza ni shida au unazi? Wameomba kuungwa mkono ili wakianza kuisambaratisha Lebanon mataifa mengine yasianze kusema ni mauaji kama Gaza.
Kwani vita mpaka upeleke vikosi?Israel hawezi kupeleka vikosi lebanon babu
Nyie mnaichukuliaje Israel?Israel hawezi kupeleka vikosi lebanon babu
Israel hawezi kupeleka vikosi lebanon babu
Israhell ipi ya kupigana six day war ya holi wudi na kwenda entebbe kukomboa watu wao ndani ya masaa 24 auNyie mnaichukuliaje Israel?
Jeshi la machoko ambalo bila msaada wa marekani na nato halitoboiNyie mnaichukuliaje Israel?
Ndicho alichofanya ghaza,bila vikosi ardhini huwezi shinda vitaKwani vita mpaka upeleke vikosi?
Endelea kujidanganya.Labda kukusaidia tu, naona haujaelewa chochote hapo ndugu,
1. Unaijua kazi ya Waziri wa Mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa?
2. Umeelewa ulichokiandika mwenyewe hapo aina ya uungwaji mkono anaoutaka?
3. Unaelewa kwanini anasema Israel ina haki ya kujilinda.
Ni kwamba Israel walipewa na UN eneo dogo sana, lakini kila wakishambuliwa wanawapiga adui zao na kuchukua maeneo yao. Hili la Gaza, tegemea Israel kutolirudisha eneo hilo kwa waPalestina. Litakaliwa kimabavu