Ila Israel waongo sana aisee.
Huwezi shambulia eneo dogo kwa ndege za kivita 100 kwa wakati mmoja.
๐๐๐๐๐๐๐๐Aaah aaah aaah Israel hapana ni muongo.
Hao USA wenyewe hata katika world war hawakuwahi kutumia ndege 100 kwa wakati mmoja.
Taarifa za Reuters zinasema Hizbollah walishambulia alfajiri na shambulio kweli limepenya hadi Israel.
Baada ya hilo shambulio ndio Israel ikatangaza kuwa imefanya preemptive strike kuharibu miundombinu ya Hizbollah.
Japo Hizbollah wanadai hakuna kilichoharibika na wanapanga shambulizi lingine baada ya Alfajiri.
Inamaana alianza kushambulia Hizbollah.
Ila hili la kurusha ndege vita 100 daaah hapana Israel muongo sana.