Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

Hamna chochote Iran mchumba tu angekuwa hivyo unavyomdhania basi hayo mashambulizi angeyazuia yani Leo hii unaweza ukaenda nnchi yenye akili zake ukajipigia mabomu kizembe tena maeneo muhimu na yenye ulinzi na ukafanikiwa kirahis rahis tu
 
The world is setting stage for the Ezekiel 38, 39 War, Iran being one of the major parties. The Lord revealed this major End Times Scene a long time ago.

In just a few years, Israel will be surrounded by all the nations around it, together with other nations, and will be abandoned by America and the rest. They will be all alone.

Guess who will show up and set foot in Jerusalem to the rescue?

#JesusIsComimg
 
Never — labda under United States ya Makambako sio hii ya Trump
 
Wachambuzi uchwara bongo lala, shtuka wewe, yaliofanyika wanaume wamekaa mezani!!

Akili zenu za ufugaji kuku wakienyeji hazitoshi kufikiri siasa na maisha ya wana Israel
 
Sema mnajuaga kutishia aisee, mtu asipokuwa makini anaweza kutimua mbio kumbe hamna lolote walaini tu
 
kama kweli vile kumbe ni kujifariji
 
Iran imeshakuwa disabled. Sasa hivi inaweza kupigwa hata na Yemen
Hata Yemeni mlikua mnasema hivyo hivyo iko disabled mwishowe waliendelea kushambulia.
FYI Iran ina mahandaki ya silaha Kila Mkoa.
Sasa jiulize Iran Ina mikoa mingapi.
Ni impossible kui disable Iran.
Hapo wanajipanga tu kuzika wafu na kuleta ADS mpya juu ya ardhi Kesha mtanange uendelee.
 
Waaambie hao,hawaijui Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…