Hakuna lolote, Iran hatakiwi kushupaza shingo kwa sasa hana uwezo wowote.Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948
Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito
Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Hivi kumbe pale Acheche pana idara mbalimbali 😂😂😂Kutoka idarani achechee...
Ayatollah kimsboy nae kaichimba Mikwara IsraelNetanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948
Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito
Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Kama hadi wazikane ndio wajipanga, basi wajue kuwa kuzika wafu ni zoezi endelevuHapo wanajipanga tu kuzika wafu na kuleta ADS mpya juu ya ardhi Kesha mtanange uendelee.
Wew uko wapi (sehemu gani)mda huu? Hemu tuhabalishe hali ipoje kwa sasa hapo middle EastNetanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948
Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito
Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Hahaha! Apigwe na mtoto wake!!!!!!?????Iran imeshakuwa disabled. Sasa hivi inaweza kupigwa hata na Yemen
Pole sana Israel itakua bure maana kwa kipondo cha leo na kwa maumivu iliyokupa lazima sukari, presha zitakuwa juu sana muda huu.Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948
Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito
Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Msemaji wa Ayatolah KhomeneiNetanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948
Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito
Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Pole sana.. Tumswalieee....Allahuakabar!!Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948
Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito
Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Quran ndo imesema hivyo siyo!? Islamists bana!! Ayatollah Khamenei ndiyo huyooo mdogo mdogo, jeneza linakamilikaNetanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote
Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza
Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya ukanda nzima, dunia inaenda kushuhudia mazito masaa machache yajayo
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948
Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito
Hii ngoma haitokuwa ya kitoto.
Unaizungumzia Iran sio Syria.Kama hadi wazikane ndio wajipanga, basi wajue kuwa kuzika wafu ni zoezi endelevu
Ninafikiri ungejiuliza tu kataifa kadogo kama kale kanapata wapi ujasiri wa kupiga taifa kubwa kama Iran. Sasa kwa taarifa yako hakuna aliyeshindana na Israeli akawa salama. Hapo ndiyo ujue Mungu wa Israeli yu hai na atawatetea. Hawaitaji mtu yeyote wa kuwatetetea. Mungu wa Mbinguni aliyeumba mbingu na nchi yuko upande wao. Mwisho tu ni kuomba amani maana kila mtu including wewe na mimi tutaumia. Leo tu mafuta yamepanda kwa ajili ya haya yaliyotokea.Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.