Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

Pia usisahau kwa sasa sheria itamruhusu Iran awe Nuclear sababu kavamiwa na wakati alikuwa kwenye mazungumzo. Iran karibu tutasikia ana Nuclear.
 
Allah wa Mungu yehova hapa hana chochote , hup ni ujinga wenu tu nyie waafrika
 
wafia dini mnajua kujifariji kiduwazi
 
Ukristo ni ujinga kwa hio Mungu ni mbaguzi anawatetea Israel tu hahaha alikuwa wapi pale Iran aliwarushia Missiles. We hujioni kama mjinga toka lini Mungu alikuwa upande wa Israel watu walio uwa Mitume aliye watuma. Hivi wewe uko sawa akilini kwako.

Afu toka lini Mungu akaishi kwenye mbingu? Azitengeneze yeye afu akaishe yeye ndani we unajua kuna.mbingu saba na ardhi saba sa yupp kwenye mbingu ipi hahaha. Kichaa sana ukiwa mkanisa.

Mungu dogo anazishikilia hizi.mb8ngi saba na ardhi saba hawezi kuishi ndani yake nyie oteni tu.
 
Ngoja niishie kwa kukupa pole maana kila kitu unachotumia ameumba Mungu na uhai wako uko mikononi mwake. Yeye yuko kila mahali na hata hapo ulipo sas hivi anakuona.
 
Wacha waongea adi wajambe kwasasa mana Iran akianza kazi watapoteana upya muimu tujue Israel kwa Iran ni katoto sana kipigo itakachopigwa ndio utajua kwanini Netanyahu kwasasa ayupo Israel!!!!

Kwenye kipindi kigumu kama ichi kwann kakimbia nchi yake kawaacha raia pekeyao sasa ukomando wake upo wapi !!!!!

lkn pia kwann wamefunga Anga lao jibu ndio utaelewa kuna kitu wanakiogopa kutoka Iran!!!!

na unaambiwa Waisrael wote wapo kwenye mashimo chini ya Ardhi jiulize wanaogopa nini !!!!

mwana
kulitafuta mwana kulipata !!

Iran anaga kazi mbovu Israel ijiandae kama kawaida yake kuudanganya ulimwengu na kuficha Madhara ya kubomdwa kwake!!

israel imewaza kuwauwa makamanda ndio watapata Salama lkn MOTO utawafikia pote ISRAEL. Tujige muda ndio utaongea!!!

japo Vita mbaya sio Rafiki kwa yeyote Lkn waisrael wanachofanya pale Gaza akikubaliki kwa namna yoyote sasa niwakati nayeye kupambana na mwenye ndevu..
 
Hili litakua ndo mwisho wa ubabe wa Israel hapa duniani ubabe uliodumu toka mwaka wa 1948

Soon kuna Suprise inakuja, tujiandae kwa Vita nzito

Kwamba unadhani Israel kaanzisha kitu asichojua namna ya kukimaliza?
 
MWANAPROPAGANDA MUQAWAMMA WA SHIA KWA AFRIKA MASHARIKI
 
Iran ametustaajabisha wengi, hatukuyategemea haya. Angekuwa anaacha tu kutoa vitisho, mambo kwa ground ni tofauti kabisa. Angedungua yale madege, ningeona angalau kafanya kitu. Kusema eti aende kuichakaza Israel hapana, wakubali wametandikwa wajipange upya.

Kitengo chao cha ujasusi wakifumue, kuna vibaraka wengi wa Mossad. Pia waache kutawala kwa mabavu ndani ya Iran, wananchi hawawezi kuwa wazalendo, lazima wanauza ramani. Iran imetuumiza wengi haki, muda wote ikae tayari kivita vita, siyo kama hivi aah!!!
 
Israel katumia ndege zenye marubani,Iran katuma ndege zisizo na rubani ndio huyo mbabe wako mwoga unategemea afanye comeback?
 
Rubbish, Unafiki hao ni Chadema 😂?
 
Tulia mshughulikiwe
 
Wairan wa bongo kims kile mlichokuwa mnadhani Israel inaiogopa Iran huko mashariki ya kati,ndicho Israel wamewajibu.

CHA KUSHANGAZA SANA NI UWEZO WA ISRAEL KWENYE TARGET ZAKE. MAKAMANDA WOTE WA IRAN,WANASAYANSI NA WATAALAM WA NYUKRIA ILIOWAHITAJI KUWATOA HUKO IRAN,WOTE IMEWATOA KAMA ILIVYOTAKA, SIMPLE TU KAMA KUMBUSU MSICHANA TU. NDANI YA IRAN MLIYODHANI NDIO KIBOKO YA ISRAEL. HIYO INAMAANISHA ISRAEL IPO KILA MAHALA MASHARIKI YA KATI. MOSSAD SARUTI KWAO
 
Ashakula gahawa na kashata hapo masjd uvinza anajikuta yeye ndio ayatollah anatoa maelekezo
 
Inakuaje taifa la Mungu linashirikiana na taifa la kishetani kama US?
 
Mashambulizi yenyewe karibu missiles zote zimedakwa, huwezi compare na ile ya taifa la Mungu walipiga kama vile wanawapiga watoto yatima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…