Israel watapelekwa ICC

Israel watapelekwa ICC

Majeruhi watatulia hata miaka 10 wakipata nafasi tena watajibu na tech itakuwa juu yenye uwezo wa kubypass iron dome.
Vita havimalizwi kwa vita na kufanya matukio ya kupandikiza visasi na chuki kwa race ya waarabu wote.

Majibu ya walichofanyiwa yamepitiliza utu.
Kwahiyo mkuu hiyo tech itakuwa juu kwa hamas pekee huku Israel wakiendelea kubaki kwenye iron dome itakayokuwa outdated?

Jamani mahaba yanawapa upofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
Kwamba Mungu anatetea uhalifu, jamani hivi biblia huwa tunaisoma na kuielewa au tumekaririshwa tu kwamba Israel ni taifa teule. Je, unajua sababu ya Wana wa Israel kwa kumkosea Mungu walipelekwa utumwani Babel kwa miaka 70?

Je, pia unajua kuwa sababu ya kumkataa Yesu ndo ilisababisha Yerusalem kuharibiwa mwaka 70A.D na jemedari Tito wa dola ya Rumi iliyokuwa inaitawala Israel Kama koloni lake? Na ndiyo sababu ya wayahudi kutawanyika ulaya na kulowea huko kwa takribani miaka 2000.

Je, hadi hapo ni taifa teule la Mungu na kwamba Mungu atanyamaza kwa uovu au uonevu waufanyao? Je, wapalestina wao Mungu hakuwaumba na je, Yesu wao hakuwafia?
 
ICC kwenda kufanya nini? Au wanauza tende huko?
 
Israel kama Marekani sio wanachama wa ICC hakuna wa kuweza kuwapeleka

Africa ni wanachama wa ICC ndio.maana huwa tunapelekana huko
Afrika akili zetu tunazijua wenyewe, viongozi wanauaga watu wao, lazima tuwe wanachama ili tunyooshwe.
 
Hahaha halafu watachapwa viboko au nini kitatokea wakifika huko ICC?
 
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Kwa sababu wanaoliwa waislam.hawatapelekwa. ingalikuwa wanauliwa kuku tu wa kiyahudi ungalisikia. Dunia hii imejaa watu wanafiki
 
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.

Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Elimu ya bure, Israeli, US na Urusi siyo wanachama wa ICC tofauti na nchi nyingi za Afrika. Shambulio lilifanywa na Israeli bado ni dogo, Urusi alifagia kijiji kizima cha Bucha kule Ukraine na hatua zozote zilizochukuliwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
ICC ipo kwajili ya mataifa mafala mafala tuu huwezi kusikia marekani Russia sijui Japan Iran na wenzake huko eti wamepelekwa ICC. Kenya walipelekwa na Congo [emoji1787]
 
Israel kama Marekani sio wanachama wa ICC hakuna wa kuweza kuwapeleka

Africa ni wanachama wa ICC ndio.maana huwa tunapelekana huko
Na Africa usipokuwa mwana chama unanyimwa budget fund....unaishia kuwa na budget ya matilion tu kwenye karatasi wakati hela inayoenda kwenye miradi ni 20%. Mnaishia kukopa kwa siri mikopo yenye riba kubwa na kuwahadaa wana nchi ooo sijui miradi yote ni fedha za ndani huku deni la Taifa linapaa. ILA JIWE KWA KWELI ALITUONA WAJINGA SANA YEYE NA BASHITE
 
Back
Top Bottom