mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Hata hivyo hawajajiunga icc even palestina wenyewe sidhani kama wapo iccWale wako treated kama magaidi ndo maana hutakaa usikie wamepelekwa icc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo hawajajiunga icc even palestina wenyewe sidhani kama wapo iccWale wako treated kama magaidi ndo maana hutakaa usikie wamepelekwa icc
Kwahiyo mkuu hiyo tech itakuwa juu kwa hamas pekee huku Israel wakiendelea kubaki kwenye iron dome itakayokuwa outdated?Majeruhi watatulia hata miaka 10 wakipata nafasi tena watajibu na tech itakuwa juu yenye uwezo wa kubypass iron dome.
Vita havimalizwi kwa vita na kufanya matukio ya kupandikiza visasi na chuki kwa race ya waarabu wote.
Majibu ya walichofanyiwa yamepitiliza utu.
Kwamba Mungu anatetea uhalifu, jamani hivi biblia huwa tunaisoma na kuielewa au tumekaririshwa tu kwamba Israel ni taifa teule. Je, unajua sababu ya Wana wa Israel kwa kumkosea Mungu walipelekwa utumwani Babel kwa miaka 70?Nonsense, pelekeni yale magaidi kina haniya huko ICC kwanza ndio mje kuwa gusa watoto wa Yakobo. Mungu yu pamoja na Israel, yeye awalindaye halali wala hasinzii.
Afrika akili zetu tunazijua wenyewe, viongozi wanauaga watu wao, lazima tuwe wanachama ili tunyooshwe.Israel kama Marekani sio wanachama wa ICC hakuna wa kuweza kuwapeleka
Africa ni wanachama wa ICC ndio.maana huwa tunapelekana huko
Sahizi unakunywa nini embu nipe siri nami huenda nikaachana nayo maji yenyewe yanachumvi balaa!Akipelekwa hiyo cort nakunywa Maji
Acha tu tunajibu huku miguu ipo juu ya meza[emoji23][emoji23]Dah Tz mna mambo sana vita isikieni tu kwa watu
That one will never happen trust me!Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Kwa sababu wanaoliwa waislam.hawatapelekwa. ingalikuwa wanauliwa kuku tu wa kiyahudi ungalisikia. Dunia hii imejaa watu wanafikiKwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Huna akili.Madictator lazima waingizwe humo kwa ulinzi wa raia ndani ya ardhi (democrasia)
Elimu ya bure, Israeli, US na Urusi siyo wanachama wa ICC tofauti na nchi nyingi za Afrika. Shambulio lilifanywa na Israeli bado ni dogo, Urusi alifagia kijiji kizima cha Bucha kule Ukraine na hatua zozote zilizochukuliwa.Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa.
Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
Acha tupigane kwa mdomo au sio😅😅Acha tu tunajibu huku miguu ipo juu ya meza
Ndiyo maana yake!Acha tupigane kwa mdomo au sio[emoji28][emoji28]
Na Africa usipokuwa mwana chama unanyimwa budget fund....unaishia kuwa na budget ya matilion tu kwenye karatasi wakati hela inayoenda kwenye miradi ni 20%. Mnaishia kukopa kwa siri mikopo yenye riba kubwa na kuwahadaa wana nchi ooo sijui miradi yote ni fedha za ndani huku deni la Taifa linapaa. ILA JIWE KWA KWELI ALITUONA WAJINGA SANA YEYE NA BASHITEIsrael kama Marekani sio wanachama wa ICC hakuna wa kuweza kuwapeleka
Africa ni wanachama wa ICC ndio.maana huwa tunapelekana huko
Bado hamjasema.Anaweza kulipua ICC na bado watu wakaanza kushangilia kuwa Mungu yuko pamoja nao.
Kwa nn mkuuHuna akili.