Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Ungekuwa nayo ungejionea mambo live na kuachana na mambo ya propaganda za mashog,a.

Maisha niliyapatia kikamilifu miaka ya 2010's nikiwa kijana mdogo wa early 20's.
Uongo! Wewe ni masikini bwana!
 
Fikiria kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa Hamas yupo frontline sio kama Netanyahu akisikia ving'ora tu vya makombora ya Iran anakimbia kama mwizi kujificha.
Netanyahu amechagua siasa, Sinwar amechagua mapigano. Kila mtu atafia alipochagua labda abadilishe. Kufia frontline, au kwenye handaki, au kwenye compound kama Osama, au kwenye karavati kama Gadafi wa Iraq au kitanzi kama Sadam wa Kuwait (kwa sauti ya JPM) hakubadilishi maana kwamba umepigana ukauawa.
 

Na mti uendelee kuishi milele , nakupa hii huyo mnayemshabikia labda ni mkristo mwenzenu



Your browser is not able to display this video.
 
Kujifariji hakuondoi hali halisi. Mtapigwa tu!

Mtapigwa tu , walishindwa makaburu South Afrika , na karibu wazungu wote wakiwasaidia makaburu , mwisho wao uko wapi ??
 
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.

Ambayo siku hiyo haipo....! hwataki kupoteza resources zao kwa hao jamaa....Watu wenyewe 2.5 Millioni......Unataka wafanye nini?
 

Kosugu: Pole sana jamaa yangu.....Kamanda hata muda wa kupiga mswaki alikuwa hana....!

 
Wamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah

Wataaza na akina Boko Haram....ISIS.....Hii dini ni janga la dunia....
 
Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Kwa kweli kwa ishetani ule uliofanywa octoba 7, hakuna wa kuwaonea huruma hawa magaidi.

Tunaumizwa tu na vifo vya watoto wasio na hatia, wasiojua chochote. Na haya magaidi yanajificha katikati ya watoto na watu wasio na hatia ili wauawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…