njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
We kijana tuache kwanza tuna huzuni ya kipenzi chetu Sina wali 😪😪AI ya msikitini labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kijana tuache kwanza tuna huzuni ya kipenzi chetu Sina wali 😪😪AI ya msikitini labda
Uongo! Wewe ni masikini bwana!Ungekuwa nayo ungejionea mambo live na kuachana na mambo ya propaganda za mashog,a.
Maisha niliyapatia kikamilifu miaka ya 2010's nikiwa kijana mdogo wa early 20's.
Kwa style hiyo wataisha woteNa wataendelea kufanya mpk wapate Uhuru wao hata damu imwagike vipi
Netanyahu amechagua siasa, Sinwar amechagua mapigano. Kila mtu atafia alipochagua labda abadilishe. Kufia frontline, au kwenye handaki, au kwenye compound kama Osama, au kwenye karavati kama Gadafi wa Iraq au kitanzi kama Sadam wa Kuwait (kwa sauti ya JPM) hakubadilishi maana kwamba umepigana ukauawa.Fikiria kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa Hamas yupo frontline sio kama Netanyahu akisikia ving'ora tu vya makombora ya Iran anakimbia kama mwizi kujificha.
Mwiba umekatwa! He was just a lunatic! Kapata nini sasa....Hata futi moja ya Israel hajapata.....Sana sana anafanya Wapelestina waanze moja tena....Israel imeziba Philadephi Corridor......Hii inaa maana hata mapigano yakisimama.....Hawana tena kupata Silaha na vitu vingine toka Egypt.....Israel imewabana kooni vibaya mno.....Anywa wamejitakia...
View attachment 3129280
Netanyahu amechagua siasa, Sinwar amechagua mapigano. Kila mtu atafia alipochagua labda abadilishe. Kufia frontline, au kwenye handaki, au kwenye compound kama Osama, au kwenye karavati kama Gadafi wa Iraq au kitanzi kama Sadam wa Kuwait (kwa sauti ya JPM) hakubadilishi maana kwamba umepigana ukauawa.
Kujifariji hakuondoi hali halisi. Mtapigwa tu!
Umeleta misa ya Jumapili hapo au kwako ni Jumamosi ??Ona mjinga mwingine huyu hapa na hadithi za ijumaa
Na mti uendelee kuishi milele , nakupa hii huyo mnayemshabikia labda ni mkristo mwenzenu
View attachment 3129783
Na mti uendelee kuishi milele , nakupa hii huyo mnayemshabikia labda ni mkristo mwenzenu
View attachment 3129783
Na mti uendelee kuishi milele , nakupa hii huyo mnayemshabikia labda ni mkristo mwenzenu
View attachment 3129783
Na mti uendelee kuishi milele , nakupa hii huyo mnayemshabikia labda ni mkristo mwenzenu
View attachment 3129783
We kijana tuache kwanza tuna huzuni ya kipenzi chetu Sina wali 😪😪
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.
Ona unaanza kubwabwaja sasa kama umelishwa usembe!!
We nani kakwambia hatuna shukran!?
Mbona Spain ina uhusiano na mataifa mengi tu ya kiarabu na maisha yanaendelea vizuri.
As well as France.
Kwanini waarabu wamlalamikie USA,UK na Germany peke yake!?
Kwanini wazungu wengine hawalalamikiwi!?
Naona kama najadili na mpuuzi.
Wewe ni wapi umeona kuwa Allah amesema katuandalia pombe!?
Huo uongo ni wapi umeupata!?
Hata kama akiandaa HARAMU NA HALALI VIMETOKA KWAKE.
YEYE NDIYE MUANZILISHI WA KILA KITU.
ANGETAKA WANAUME TUZAE INGETOKEA.
Imekua Haram kwasababu Allah kasema na itakua Halali kwasababu Allah amesema.
Pia usisahau PALESTINE 90% YA MISAADA YAKE HUTOKEA QATAR NA MALAYSIA NA INDONESIA.
Hata hao Hamas anaowa fund ni mataifa ya kiarabu.
We baki na dunia wacha wanaume waende peponi, nyie wakristo dunia ni yenu kule peponi hamna lolote. Siku ukifa ndio utajua Yahya Sinwar hakuwa anaipenda dunia kama wewe na wakristo wenzako, yule alikuwa anagombania pepo ya Mungu dunia inathaminiwa na Wakristo, Hindus na Budhas tu.
View: https://youtube.com/shorts/I269qRt-75s?si=5xyCprcreIr6slKd
Wamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah
Kwa kweli kwa ishetani ule uliofanywa octoba 7, hakuna wa kuwaonea huruma hawa magaidi.Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.