Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Ungekuwa nayo ungejionea mambo live na kuachana na mambo ya propaganda za mashog,a.

Maisha niliyapatia kikamilifu miaka ya 2010's nikiwa kijana mdogo wa early 20's.
Uongo! Wewe ni masikini bwana!
 
Fikiria kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa Hamas yupo frontline sio kama Netanyahu akisikia ving'ora tu vya makombora ya Iran anakimbia kama mwizi kujificha.
Netanyahu amechagua siasa, Sinwar amechagua mapigano. Kila mtu atafia alipochagua labda abadilishe. Kufia frontline, au kwenye handaki, au kwenye compound kama Osama, au kwenye karavati kama Gadafi wa Iraq au kitanzi kama Sadam wa Kuwait (kwa sauti ya JPM) hakubadilishi maana kwamba umepigana ukauawa.
 
Mwiba umekatwa! He was just a lunatic! Kapata nini sasa....Hata futi moja ya Israel hajapata.....Sana sana anafanya Wapelestina waanze moja tena....Israel imeziba Philadephi Corridor......Hii inaa maana hata mapigano yakisimama.....Hawana tena kupata Silaha na vitu vingine toka Egypt.....Israel imewabana kooni vibaya mno.....Anywa wamejitakia...

View attachment 3129280

Na mti uendelee kuishi milele , nakupa hii huyo mnayemshabikia labda ni mkristo mwenzenu



 
Na mti uendelee kuishi milele , nakupa hii huyo mnayemshabikia labda ni mkristo mwenzenu



View attachment 3129783

Pole sana Jagina......KamanDA MWEHU kaondoka....

1729351229303.png
 
Njia zipo lakini USA hataki,u mzozo utajua kuisha siku China na Russia waamue kuisiadia Palesitina..kwa kweli jamaa wanaonewa kwwli.

Ambayo siku hiyo haipo....! hwataki kupoteza resources zao kwa hao jamaa....Watu wenyewe 2.5 Millioni......Unataka wafanye nini?
 
Ona unaanza kubwabwaja sasa kama umelishwa usembe!!
We nani kakwambia hatuna shukran!?
Mbona Spain ina uhusiano na mataifa mengi tu ya kiarabu na maisha yanaendelea vizuri.
As well as France.
Kwanini waarabu wamlalamikie USA,UK na Germany peke yake!?
Kwanini wazungu wengine hawalalamikiwi!?
Naona kama najadili na mpuuzi.
Wewe ni wapi umeona kuwa Allah amesema katuandalia pombe!?
Huo uongo ni wapi umeupata!?
Hata kama akiandaa HARAMU NA HALALI VIMETOKA KWAKE.
YEYE NDIYE MUANZILISHI WA KILA KITU.
ANGETAKA WANAUME TUZAE INGETOKEA.
Imekua Haram kwasababu Allah kasema na itakua Halali kwasababu Allah amesema.
Pia usisahau PALESTINE 90% YA MISAADA YAKE HUTOKEA QATAR NA MALAYSIA NA INDONESIA.
Hata hao Hamas anaowa fund ni mataifa ya kiarabu.

Kosugu: Pole sana jamaa yangu.....Kamanda hata muda wa kupiga mswaki alikuwa hana....!

1729351961559.png
 
Wamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah

Wataaza na akina Boko Haram....ISIS.....Hii dini ni janga la dunia....
 
Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Kwa kweli kwa ishetani ule uliofanywa octoba 7, hakuna wa kuwaonea huruma hawa magaidi.

Tunaumizwa tu na vifo vya watoto wasio na hatia, wasiojua chochote. Na haya magaidi yanajificha katikati ya watoto na watu wasio na hatia ili wauawe.
 
Back
Top Bottom