Naona majamaa yameamua kuwafumua vyema hawa kobazSasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida.....
The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting surface-to-air missile launchers, moving from western Iran toward Tehran in an attempt to evade IDF strikes, the military announced on Monday.
The weapons and missile launchers were destroyed in the strikes.
The IDF said that it has shot down 80-90% of Iranian ballistic missiles fired at Israel, with only five to 10% of them hitting Israeli residential areas.
IDF strikes Iranian missile launchers, army equipment on moving trucks | The Jerusalem Post
Multiple Iranian weapons and missile launchers were destroyed in the air force strikes.www.jpost.com
Wow!Nimetoka kuandika hii statement kwenye Uzi Fulani hapa... Akiba ya makombora mjini Tehran imeisha kumbuka siku ya Kwanza Iran ilirusha mabomu mengi Sana lkn kadiri muda unavyosogea yanapungua tu
We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.Nimetoka kuandika hii statement kwenye Uzi Fulani hapa... Akiba ya makombora mjini Tehran imeisha kumbuka siku ya Kwanza Iran ilirusha mabomu mengi Sana lkn kadiri muda unavyosogea yanapungua tu
Wagalatia mna tabu sanaa π€£π€£Nimetoka kuandika hii statement kwenye Uzi Fulani hapa... Akiba ya makombora mjini Tehran imeisha kumbuka siku ya Kwanza Iran ilirusha mabomu mengi Sana lkn kadiri muda unavyosogea yanapungua tu
AKILI FUPI SASA WEWE HAKUNA SILAHA KUISHA,KAA HAPO UJIONEENimetoka kuandika hii statement kwenye Uzi Fulani hapa... Akiba ya makombora mjini Tehran imeisha kumbuka siku ya Kwanza Iran ilirusha mabomu mengi Sana lkn kadiri muda unavyosogea yanapungua tu
Ni mabomu mangapi ilirusha unayodai ni mengi sana? Hebu tuchambulie ndugu Omuchambuzi kutokea Kazuramimba kigomaNimetoka kuandika hii statement kwenye Uzi Fulani hapa... Akiba ya makombora mjini Tehran imeisha kumbuka siku ya Kwanza Iran ilirusha mabomu mengi Sana lkn kadiri muda unavyosogea yanapungua tu
Sawa msemaji mkuu wa Iran ππππ Mbona unatumia mitandao ya makafiri Youtube na JF kutujulisha?We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.
Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.
Labda Iran katengeneza fake Missiles na malori fakes hahaha
Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.
Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha
View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk
Wewe ni kobazi una bishia kila kitu hata usivyo vijua. Yale malori makubwa yanayobebea missiles huja wahi kuyaona tu hata kwenye tambo za kiduku na putin. Why ukiwa kobaz akili zinakimbiaWe endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.
Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.
Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha
Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.
Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha
View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk
Tatizo matatizo wenzenu wanatoka uchi huko Tela Aviv kwa kipigo mwanamke anaonyesha maziwa yake afu anasema anataka mtu amchanfamkie sijui hizo Missiles zimemtamanisha zilivyo land hahaha. Ingekuwa si kumuogopa Mungu na kuheshimu wanawake ningekuonyesha huyo mwanamke wa kiyahudi hahaha.Sawa msemaji mkuu wa Iran ππππ
Nasikia sasa hivi Iran wanatumia bendera nyekunduKwa hiyo utawala WA Ayatollah unakaribia tamati. Naona Hadi wairan wameshaanzisha bendera Yao mpya.View attachment 3371600
Hiyo ni bendera kabla ya mapinduzi ya ShahaKwa hiyo utawala WA Ayatollah unakaribia tamati. Naona Hadi wairan wameshaanzisha bendera Yao mpya.View attachment 3371600
Soma hapa raia wa IranNi mabomu mangapi ilirusha unayodai ni mengi sana? Hebu tuchambulie ndugu Omuchambuzi kutokea Kazuramimba kigoma
Lori hazibebi Missiles zikibeba nizile zina launchers zake hahaha. Lori au Truck ni vitu viwili tofouti hahahaWewe ni kobazi una bishia kila kitu hata usivyo vijua. Yale malori makubwa yanayobebea missiles huja wahi kuyaona tu hata kwenye tambo za kiduku na putin. Why ukiwa kobaz akili zinakimbia