Israel yaanza kulipua malori yanayasafirisha mizinga yakipeleka Tehran

W
We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.

Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.

Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha

Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.

Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha

View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk

Wasichokijua ni kwamba Iran alikuwa anarusha makombora yake kutoka mikoa mitano tofauti hivyo Mifumo ya Ulinzi inakuwa busy kushughulikia mizinga ya mwanzo huku mingine ikipita direct kwenye target
Tena washukuru Mizinga mingi inatunguliwa Jordan lakn kama yote ingekuwa inaenda Israel Sasa hivi ingekuwa tayar imeshafutwa ktk uso wa Dunia
 
Bado katumia 3 type za Missiles anazo aina 7 hizo zilizo baki ni hatari sana
 
Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida.....

The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting surface-to-air missile launchers, moving from western Iran toward Tehran in an attempt to evade IDF strikes, the military announced on Monday.

The weapons and missile launchers were destroyed in the strikes.

The IDF said that it has shot down 80-90% of Iranian ballistic missiles fired at Israel, with only five to 10% of them hitting Israeli residential areas.
Television yao ya Taifa nayo kwishne wakiwa hewani
 
Watu walioanzisha hizi mitandao ndiyo wale watu mnaowaita makafiri.
Makafiri yapo busy kutengeneza computer language ambazo sasa imezalisha mitandao inayojulikana duniani ila wale upande wanaowaita wenzao makafiri wapo busy kukariri lugha ya kiarabu ili wasome Quran😁😁😁
Nakwambia wengi wao hawana dini kwaiyo hata sisi wakristo tunawaita mapagani kwaiyo usijejinasibisha mfano kama unatumia Samsung wakolea hajawahi msikia yesu
 
Wewe ni kobazi una bishia kila kitu hata usivyo vijua. Yale malori makubwa yanayobebea missiles huja wahi kuyaona tu hata kwenye tambo za kiduku na putin. Why ukiwa kobaz akili zinakimbia
Umesha sema Kobazi...sasa akili atatoa wapi?
 
Iran anacheka Missiles defense za Israel zimekuwa zinajigonga zenyewe kwa zenyewe sababu ya kuchanganyikiwa na kipigo.

Hata Air defense za Israel zinajigongo kama wanavyo jigongo wao kwa wao mwanaume amgonge mwanaume na mwanamke amsugue mwanamke ushoga mtupu mpaa kwenye air defense zao. Oneni Iran anavyo wacheka

View: https://youtu.be/pdbztpuLc-0?si=GNh59UgMRBJbw_sV
 
Bado katumia 3 type za Missiles anazo aina 7 hizo zilizo baki ni hatari sana
1000602764.jpg

mwambie atumie hizo saba kujilinda maana watu wanakimbia tehran hali ni mbaya
 
We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.

Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.

Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha

Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.

Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha

View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk

Duh! Ebu soma ulichoandika Kama utakielewa hata wewe mwenyewe.
 
W

Wasichokijua ni kwamba Iran alikuwa anarusha makombora yake kutoka mikoa mitano tofauti hivyo Mifumo ya Ulinzi inakuwa busy kushughulikia mizinga ya mwanzo huku mingine ikipita direct kwenye target
Tena washukuru Mizinga mingi inatunguliwa Jordan lakn kama yote ingekuwa inaenda Israel Sasa hivi ingekuwa tayar imeshafutwa ktk uso wa Dunia
Washukuru nini? Mifumo iliyoko Jordan imewekwa na Israel wenyewe.
 
Hawa jamaa wakimaliza malori wataanza kulipua taxi, ngamia, punda hadi baikeli na bajaji, kwa kifupi chochote kinachotembea.
Mkuu, naangalia Aljazira, sasa hivi wamerusha makombora 10 tuu na yote yamefia njiani. Iran kwishney!!!
 
Wangeachana na kufadhili magaidi leo hii wangekuwa wanakula raha tu.

Sasa wanapigwa na wananchi wanashangilia.
 
Sijui hata huwa wanafanyaje hawa waisraeli, yaani Mossads wanaonekana ndani ya Iran wakiendesha mpaka boda boda wakibeba abiria lols. Mpaka Taxi drivers na wahudumu mahospitali na maofisini, dah. Inaonrkana walisuka mipango kitambo sana.
 
Back
Top Bottom