Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Uyu atakatwa kichwa aspovuka mpakaKwa hiyo utawala WA Ayatollah unakaribia tamati. Naona Hadi wairan wameshaanzisha bendera Yao mpya.View attachment 3371600
Uyu atakatwa kichwa aspovuka mpakaKwa hiyo utawala WA Ayatollah unakaribia tamati. Naona Hadi wairan wameshaanzisha bendera Yao mpya.View attachment 3371600
bado mapema sana kufanya hivyo,kumbuka hii vita tangia imeanza ina siku nne tu . Wahenga wanasema it is only a fool who can measure the depth of the river with two legs.Ajabu ndege za israel haziruki iran kama lebanon
Inaenda kuwa SyriaNasikia sasa hivi Iran wanatumia bendera nyekunduView attachment 3371658
Majini kweli huwa yapo?Television yao ya Taifa nayo kwishne wakiwa hewani
View attachment 3371790
We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.
Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.
Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha
Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.
Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha
View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk
Hii vita inazungumzika, wakae chini wayamalize
Iran tv imerudi mtamboni sa tulieni leo mtaipata dawa inakuja.mpaa maji mseme maiiii
Huyo mweupe sana kichwani. Alafu anajifanya mjuani. Kutwa kuweka udini tuLori kwa kiswahili truck kwa kingereza a u stupid..?
Television yao ya Taifa nayo kwishne wakiwa hewani
View attachment 3371790
Sahihi kabisaHii vita inazungumzika, wakae chini wayamalize
Kobazi huyoHuyo mweupe sana kichwani. Alafu anajifanya mjuani. Kutwa kuweka udini tu
Tatizo Iran ni mbishi, anaona bora afe akiamini kuna maisha ya kusadikika huko aendako.Sahihi kabisa
Waliipandishaga juu ya mskiti mkuu wakati kauuliwa haniya baada ya muda wakashusha kimya kimya😂😂😂Nasikia sasa hivi Iran wanatumia bendera nyekunduView attachment 3371658
Ndugu hautaweza kuzungumza na watu waliokuwa brainwashed na mafundisho ya UISLAMIST. Pengine nyinyi watu hamjuagi hawa islamists wanachotaka na hiyo inatokana na kudanganywa na propaganda zao ati islam is a religion of peace. Nyinyi mnajua kwanini Jeshi lilimpindua Mohammed Morsi wa Egypt? Wale ndiyo waanzilishi wa Muslim brotherhood ambayo inatekeleza agenda ya Political Islam kwa Wasunni. Inspiration wanaipata toka Quran. The same Quran Shia chini ya Mamullahs wa Iran wanaona wao ndiyo inawapa Mamlaka ya Kusimamisha World Calphate. Egypt, Saudi Arabia, UAE, Bahrain, Jordan Walikuja kugh'amua kuwa Agenda ya World Calphate ambayo Muslim brotherhood wanatekeleza inahatarisha pia Serikali zao. Hivyo waliwapiga Marufuku. Battle field yao kwa kuanzia ni Western countries na Jerusalem. Kila mara hapa Tanzania mnaona Yanawekwa mabango [Bill Board] kubwa zenye ujumbe Al Quds, nyinyi mnachukulia poa tu. Wenzenu wako kazini kuhalalisha Azma yao ya kutwa Jerusalem. Al-Quds ni Jerusalem kwa kiarabu.Hii vita inazungumzika, wakae chini wayamalize
Shetan allah this time hachomoiKawaida ukiona propoganda nyingi ujuwe kawashika pabaya
Baba yako na mama yako ndio mashetani walio kuzaa wewe nje ya ndoaShetan allah this time hachomoi
Hahahaha 😆Baba yako na mama yako ndio mashetani walio kuzaa wewe nje ya ndoa