UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Kama issue ni ukafiri basi na makafiri wa Tz nao wangetengeneza hata toothpick.Watu walioanzisha hizi mitandao ndiyo wale watu mnaowaita makafiri.
Makafiri yapo busy kutengeneza computer language ambazo sasa imezalisha mitandao inayojulikana duniani ila wale upande wanaowaita wenzao makafiri wapo busy kukariri lugha ya kiarabu ili wasome Quran😁😁😁