Israel yaanza kulipua malori yanayasafirisha mizinga yakipeleka Tehran

Israel yaanza kulipua malori yanayasafirisha mizinga yakipeleka Tehran

Tatizo matatizo wenzenu wanatoka uchi huko Tela Aviv kwa kipigo mwanamke anaonyesha maziwa yake afu anasema anataka mtu amchanfamkie sijui hizo Missiles zimemtamanisha zilivyo land hahaha. Ingekuwa si kumuogopa Mungu na kuheshimu wanawake ningekuonyesha huyo mwanamke wa kiyahudi hahaha.
Sawa muiran. Ayatolah unabidi umuombee sana kama hawa wanaliwa vichwa kama kuku. Huyo ni raia wa kawaida sana
 
Hiyo ni bendera kabla ya mapinduzi ya Shaha
Wameisha failed walitegemea siku ya kwanza watapindua nchi hahaha walicho fanikiwa ni kuwauwa wale ma Commander basi Ayatollah walitaka kumuwa wakakwama kutokana na security ilikuwa kali na hao Mossad wamesha kamatwa mmoja bada ya mmoja anamtaja mwenzake hahaha
 
Ukitaka kumuua nyoka piga kwenye kichwa.
Israel ina akili sana
Aiseeeeehhhh! Siamini. Yaani amewachakaza kwanza vibaraka yaani hamasi, hizbolah na huth wa Yemen na sasa analitwanga baba lao Iran.
 
Soma hapa raia wa Iran
Subiri missiles zingine kutoka Iran zitue Tel aviv alafu nitarudi hapa kukuliza wametoa wapi hayo makombora
 
Lori kwa kiswahili truck kwa kingereza a u stupid..?
A lot of people argue that all lorries are trucks, but not all trucks are lorries hahaha Trucks ni zile zina vuta flat trailer au tank za mafuta au kubeba long range Missiles. Lorry mara nyingi ni kubeba vitungu au michele zinakuwa ni truck yenye short chassis sio zenye kuvuta Semi trailer 😂
 
Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida.....

The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting surface-to-air missile launchers, moving from western Iran toward Tehran in an attempt to evade IDF strikes, the military announced on Monday.

The weapons and missile launchers were destroyed in the strikes.

The IDF said that it has shot down 80-90% of Iranian ballistic missiles fired at Israel, with only five to 10% of them hitting Israeli residential areas.
Tukubaliane, kwahiyo baada ya kupiga malori hayo Iran hana uwezo tena wa kurusha makombora si ndiyo?

Maana kila siku unaleta story za kujifariji humu kwamba Israel amelenga maeneo yote ya kurushia makombora lakini tunashuhidia vyuma vikiruka daily.
 
Sawa msemaji mkuu wa Iran 😁😁😁😁 Mbona unatumia mitandao ya makafiri Youtube na JF kutujulisha?
Hapo Iran hakuna mwenye akili anayeweza kutengeneza mtandao akawa anatujulisha kutoka Iran moja kwa moja?
Kwa list hii, muombeeni dua Ayatolah yupo mbioni kutokuwepo. Nyie pigeni raia lkn wale nyeti Israel inalamba vichwa vyao
Hii mitandao haifungamani na dini yoyote hata wamiliki wake wengi hawana dini kwaiyo usije hisi ni ya wakristo wenzako
 
A lot of people argue that all lorries are trucks, but not all trucks are lorries hahaha Trucks ni zile zina vuta flat trailer au tank za mafuta au kubeba long range Missiles. Lorry mara nyingi ni kubeba vitungu au michele zinakuwa ni truck yenye short chassis sio zenye kuvuta Semi trailer 😂
Kobaz na ubishi nasi tuseme kuna tofauti ya tofali na block
 
Wameisha failed walitegemea siku ya kwanza watapindua nchi hahaha walicho fanikiwa ni kuwauwa wale ma Commander basi Ayatollah walitaka kumuwa wakakwama kutokana na security ilikuwa kali na hao Mossad wamesha kamatwa mmoja bada ya mmoja anamtaja mwenzake hahaha
Hata wewe ungekuwako huko Tehran muda huu, wangekukamata na kusema kwamba wewe ni Mossad na wewe ungeshangaa na kujitetea sana.
Pamoja na hayo wasingeamini utetezi wako na wangekunyonga na wangetangaza kwamba tumemnyonga mshirika wa Mossad.
 
Hii mitandao haifungamani na dini yoyote hata wamiliki wake wengi hawana dini kwaiyo usije hisi ni ya wakristo wenzako
Watu walioanzisha hizi mitandao ndiyo wale watu mnaowaita makafiri.
Makafiri yapo busy kutengeneza computer language ambazo sasa imezalisha mitandao inayojulikana duniani ila wale upande wanaowaita wenzao makafiri wapo busy kukariri lugha ya kiarabu ili wasome Quran😁😁😁
 
Nimetoka kuandika hii statement kwenye Uzi Fulani hapa... Akiba ya makombora mjini Tehran imeisha kumbuka siku ya Kwanza Iran ilirusha mabomu mengi Sana lkn kadiri muda unavyosogea yanapungua tu
Ni mabomu,,lkn makombora bado wanastock kubwa sana., kumbuka pia wana aina zaidi ya tatu za makombora,ya mwanzo ni vijikombora, yafuatayo ni makombora 😀😀💪💪
 
Naona majamaa yameamua kuwafumua vyema hawa kobaz

Mnachuki mbaya sanaa, na mtakiona cha mtemakuni kwa mwajemi

Mtu anaetetea mashoga ni wakuuawa kabisa, hata wewe na wenzio mnaotetea huu uhayawani, basi tu.
 
Subiri missiles zingine kutoka Iran zitue Tel aviv alafu nitarudi hapa kukuliza wametoa wapi hayo makombora
Sawa kamanda wa Iran. Hapo x2 yaani kutoka 100 iwe 200😁😁😁
Naona unajiachia kwenye mitandao ya makafiri😁😁😁 Hapo Iran hakuna muiran atakayetoa habari moja kwa moja kutoka Iran kuliko kutumia hizi mitandao ya makafiri maana kuna taarifa zinafichwa
 
We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.

Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.

Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha

Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.


Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha


View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk

Israel siyo Congo mkuu, hii vita ni ya vidume wawili ila mmoja tayari wasomaji wameshageuza ukurasa wa pili wa barua
 
We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.

Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.

Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha

Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.


Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha


View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk

mwenzako ana hali mbaya
1000602695.jpg
 
Vijana wa iran na Israel kwa Tanzania naona sasa mnpiga miayo ya njaaa na kesho hamjui mtapata wapi kifungua kinywa🤔
 
Back
Top Bottom