Sawa muiran. Ayatolah unabidi umuombee sana kama hawa wanaliwa vichwa kama kuku. Huyo ni raia wa kawaida sanaTatizo matatizo wenzenu wanatoka uchi huko Tela Aviv kwa kipigo mwanamke anaonyesha maziwa yake afu anasema anataka mtu amchanfamkie sijui hizo Missiles zimemtamanisha zilivyo land hahaha. Ingekuwa si kumuogopa Mungu na kuheshimu wanawake ningekuonyesha huyo mwanamke wa kiyahudi hahaha.
Wameisha failed walitegemea siku ya kwanza watapindua nchi hahaha walicho fanikiwa ni kuwauwa wale ma Commander basi Ayatollah walitaka kumuwa wakakwama kutokana na security ilikuwa kali na hao Mossad wamesha kamatwa mmoja bada ya mmoja anamtaja mwenzake hahahaHiyo ni bendera kabla ya mapinduzi ya Shaha
Lori kwa kiswahili truck kwa kingereza a u stupid..?Lori hazibebi Missiles zikibeba nizile zina launchers zake hahaha. Lori au Truck ni vitu viwili tofouti hahaha
Aiseeeeehhhh! Siamini. Yaani amewachakaza kwanza vibaraka yaani hamasi, hizbolah na huth wa Yemen na sasa analitwanga baba lao Iran.Ukitaka kumuua nyoka piga kwenye kichwa.
Israel ina akili sana
Subiri missiles zingine kutoka Iran zitue Tel aviv alafu nitarudi hapa kukuliza wametoa wapi hayo makomboraSoma hapa raia wa Iran
Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia
Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...www.jamiiforums.com
A lot of people argue that all lorries are trucks, but not all trucks are lorries hahaha Trucks ni zile zina vuta flat trailer au tank za mafuta au kubeba long range Missiles. Lorry mara nyingi ni kubeba vitungu au michele zinakuwa ni truck yenye short chassis sio zenye kuvuta Semi trailer 😂Lori kwa kiswahili truck kwa kingereza a u stupid..?
Tukubaliane, kwahiyo baada ya kupiga malori hayo Iran hana uwezo tena wa kurusha makombora si ndiyo?Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida.....
The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting surface-to-air missile launchers, moving from western Iran toward Tehran in an attempt to evade IDF strikes, the military announced on Monday.
The weapons and missile launchers were destroyed in the strikes.
The IDF said that it has shot down 80-90% of Iranian ballistic missiles fired at Israel, with only five to 10% of them hitting Israeli residential areas.
IDF strikes Iranian missile launchers, army equipment on moving trucks | The Jerusalem Post
Multiple Iranian weapons and missile launchers were destroyed in the air force strikes.www.jpost.com
Hii mitandao haifungamani na dini yoyote hata wamiliki wake wengi hawana dini kwaiyo usije hisi ni ya wakristo wenzakoSawa msemaji mkuu wa Iran 😁😁😁😁 Mbona unatumia mitandao ya makafiri Youtube na JF kutujulisha?
Hapo Iran hakuna mwenye akili anayeweza kutengeneza mtandao akawa anatujulisha kutoka Iran moja kwa moja?
Kwa list hii, muombeeni dua Ayatolah yupo mbioni kutokuwepo. Nyie pigeni raia lkn wale nyeti Israel inalamba vichwa vyao
Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia
Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...www.jamiiforums.com
Kobaz na ubishi nasi tuseme kuna tofauti ya tofali na blockA lot of people argue that all lorries are trucks, but not all trucks are lorries hahaha Trucks ni zile zina vuta flat trailer au tank za mafuta au kubeba long range Missiles. Lorry mara nyingi ni kubeba vitungu au michele zinakuwa ni truck yenye short chassis sio zenye kuvuta Semi trailer 😂
Hata wewe ungekuwako huko Tehran muda huu, wangekukamata na kusema kwamba wewe ni Mossad na wewe ungeshangaa na kujitetea sana.Wameisha failed walitegemea siku ya kwanza watapindua nchi hahaha walicho fanikiwa ni kuwauwa wale ma Commander basi Ayatollah walitaka kumuwa wakakwama kutokana na security ilikuwa kali na hao Mossad wamesha kamatwa mmoja bada ya mmoja anamtaja mwenzake hahaha
Watu walioanzisha hizi mitandao ndiyo wale watu mnaowaita makafiri.Hii mitandao haifungamani na dini yoyote hata wamiliki wake wengi hawana dini kwaiyo usije hisi ni ya wakristo wenzako
Ni mabomu,,lkn makombora bado wanastock kubwa sana., kumbuka pia wana aina zaidi ya tatu za makombora,ya mwanzo ni vijikombora, yafuatayo ni makombora 😀😀💪💪Nimetoka kuandika hii statement kwenye Uzi Fulani hapa... Akiba ya makombora mjini Tehran imeisha kumbuka siku ya Kwanza Iran ilirusha mabomu mengi Sana lkn kadiri muda unavyosogea yanapungua tu
Naona majamaa yameamua kuwafumua vyema hawa kobaz
Sawa kamanda wa Iran. Hapo x2 yaani kutoka 100 iwe 200😁😁😁Subiri missiles zingine kutoka Iran zitue Tel aviv alafu nitarudi hapa kukuliza wametoa wapi hayo makombora
Israel siyo Congo mkuu, hii vita ni ya vidume wawili ila mmoja tayari wasomaji wameshageuza ukurasa wa pili wa baruaWe endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.
Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.
Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha
Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.
Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha
View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk
mwenzako ana hali mbayaWe endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.
Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.
Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha
Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.
Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha
View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk
Lori hazibebi Missiles zikibeba nizile zina launchers zake hahaha. Lori au Truck ni vitu viwili tofouti hahaha
Hizo ni zile fake Mussiles alizo wawekea Iran ili wa bleeds ma boom yao