Wasichokijua ni kwamba Iran alikuwa anarusha makombora yake kutoka mikoa mitano tofauti hivyo Mifumo ya Ulinzi inakuwa busy kushughulikia mizinga ya mwanzo huku mingine ikipita direct kwenye targetWe endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.
Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.
Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha
Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.
Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha
View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk
Bado katumia 3 type za Missiles anazo aina 7 hizo zilizo baki ni hatari sanaW
Wasichokijua ni kwamba Iran alikuwa anarusha makombora yake kutoka mikoa mitano tofauti hivyo Mifumo ya Ulinzi inakuwa busy kushughulikia mizinga ya mwanzo huku mingine ikipita direct kwenye target
Tena washukuru Mizinga mingi inatunguliwa Jordan lakn kama yote ingekuwa inaenda Israel Sasa hivi ingekuwa tayar imeshafutwa ktk uso wa Dunia
Television yao ya Taifa nayo kwishne wakiwa hewaniSasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida.....
The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting surface-to-air missile launchers, moving from western Iran toward Tehran in an attempt to evade IDF strikes, the military announced on Monday.
The weapons and missile launchers were destroyed in the strikes.
The IDF said that it has shot down 80-90% of Iranian ballistic missiles fired at Israel, with only five to 10% of them hitting Israeli residential areas.
IDF strikes Iranian missile launchers, army equipment on moving trucks | The Jerusalem Post
Multiple Iranian weapons and missile launchers were destroyed in the air force strikes.www.jpost.com
Hahahaha 😆Bado katumia 3 type za Missiles anazo aina 7 hizo zilizo baki ni hatari sana
Nakwambia wengi wao hawana dini kwaiyo hata sisi wakristo tunawaita mapagani kwaiyo usijejinasibisha mfano kama unatumia Samsung wakolea hajawahi msikia yesuWatu walioanzisha hizi mitandao ndiyo wale watu mnaowaita makafiri.
Makafiri yapo busy kutengeneza computer language ambazo sasa imezalisha mitandao inayojulikana duniani ila wale upande wanaowaita wenzao makafiri wapo busy kukariri lugha ya kiarabu ili wasome Quran😁😁😁
Iran tv imerudi mtamboni sa tulieni leo mtaipata dawa inakuja.mpaa maji mseme maiiiiHahahaha 😆
View attachment 3371791
Umesha sema Kobazi...sasa akili atatoa wapi?Wewe ni kobazi una bishia kila kitu hata usivyo vijua. Yale malori makubwa yanayobebea missiles huja wahi kuyaona tu hata kwenye tambo za kiduku na putin. Why ukiwa kobaz akili zinakimbia
Bado katumia 3 type za Missiles anazo aina 7 hizo zilizo baki ni hatari sana
Ukiwatawala watu kibabe, yakikukuta inakuwa hivi.Kwa hiyo utawala WA Ayatollah unakaribia tamati. Naona Hadi wairan wameshaanzisha bendera Yao mpya.View attachment 3371600
Duh! Ebu soma ulichoandika Kama utakielewa hata wewe mwenyewe.We endelea kuota subiria leo utaona anavyo chapwa shoga yenu. Nyie msikilizenu Shetanyahu na uwongo wake hio ni kupoza wa Israel wengine mpaa wanatoka uchi wanawake kwa kipigo cha Iran hahaha.
Iran ana Missiles karibu kila pande ya Iran na toka lini Missiles zikasafirishwa kwa malori kwani michele au vitunguu hivyo? Ungesema labda Truck pia kwani hizo pipe za petrol au gas au maji hizo hahaha.
Labda Iran katengeneza fake Missiles na fakes trucks hahaha
Mwenye kujua mambo ya military strategic hawezi amini upuzi hu upo kwenye vita uhamishe Missiles kupeleka Tehran hahaha tena kwenye my truck. Ujinga mwingine eti lory kwani wanabeba gunia za michele.
Iran anaweza kutengeneza Nuclear sababu Nuclear yake hakuna boom lavIsrael linaweza kufikia ataishia kupiga mabanda ya nje tu hahaha
View: https://youtu.be/48CmI89YNIY?si=Bkdh40XLQXZiQmjk
Kweli mkuu ni kobazi tumkaushieUmesha sema Kobazi...sasa akili atatoa wapi?
Washukuru nini? Mifumo iliyoko Jordan imewekwa na Israel wenyewe.W
Wasichokijua ni kwamba Iran alikuwa anarusha makombora yake kutoka mikoa mitano tofauti hivyo Mifumo ya Ulinzi inakuwa busy kushughulikia mizinga ya mwanzo huku mingine ikipita direct kwenye target
Tena washukuru Mizinga mingi inatunguliwa Jordan lakn kama yote ingekuwa inaenda Israel Sasa hivi ingekuwa tayar imeshafutwa ktk uso wa Dunia
Mkuu, naangalia Aljazira, sasa hivi wamerusha makombora 10 tuu na yote yamefia njiani. Iran kwishney!!!Hawa jamaa wakimaliza malori wataanza kulipua taxi, ngamia, punda hadi baikeli na bajaji, kwa kifupi chochote kinachotembea.
Wangeachana na kufadhili magaidi leo hii wangekuwa wanakula raha tu.Mkuu, naangalia Aljazira, sasa hivi wamerusha makombora 10 tuu na yote yamefia njiani. Iran kwishney!!!
Yaani wewe ni kama yule msemaji wa Utawala wa Saddam Hussein 🤑Iran tv imerudi mtamboni sa tulieni leo mtaipata dawa inakuja.mpaa maji mseme maiiii