Kama issue ni ukafiri basi na makafiri wa Tz nao wangetengeneza hata toothpick.Watu walioanzisha hizi mitandao ndiyo wale watu mnaowaita makafiri.
Makafiri yapo busy kutengeneza computer language ambazo sasa imezalisha mitandao inayojulikana duniani ila wale upande wanaowaita wenzao makafiri wapo busy kukariri lugha ya kiarabu ili wasome Quran๐๐๐
Kama issue ni ukafiri basi na makafiri wa Tz nao wangetengeneza hata toothpick.
NAzungumzia makafiri wa Tanzania.Sasa tanzania si wote ni makafir tu wanawezaje anzisha? Zaidi ya watu Mil 65 ni makafir.
Lazima ziruke kwa tahadhariAjabu ndege za israel haziruki iran kama lebanon
Nami ndo nazungumzia hao hao kuwa watanzania milion 65 plus wote ni makafirNAzungumzia makafiri wa Tanzania.
Sawa.Nami ndo nazungumzia hao hao kuwa watanzania milion 65 plus wote ni makafir