baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hebu Soma nilichoandika na ulichojibuBwege wewe kitu usicho kijua bora unyamaze kuliko kuketa uwongo, Mtume Muhammad alikataza watu kuvaa kazi kupita kifundo cha mguu. Hata alisema wanao vaa kanzu zinaburuza chini salaa zao hazikubaliki.
Usifananishe Tel Aviv na miji mikubwa yenye iron dome na Mahandaki na miji mingine ya Israel, kuna miji kibao meupe kabisa inapigika bila ulinzi1. Si kweli Hezbollah wanawalenga IDF tu bali hawana uwezo wa kuwafikia wananchi wa Israel. Nyumba zote za Israel zina mahandaki so wakati wa hatari king'ora kinalia wanaingia. Na leo wamehamishwa na serikali yao. Israel hawalengi raia ndio maana wanatangaza kabisa wahame. Lini Hamas au Hezbollah imewahi kuwatanga Waisrael wahame kabla hawajashambulia?
2. Kama ambavyo Israel inapata msaada toka USA, Hezbollah wanapata toka Iran, Lebanon na washirika wengine. Ni kwamba wanazidiwa uwezo, maarifa na teknolojia. Wenzao wakati wanachimba madesa, wao wanasoma madrasa.
Mtu kukimbia ama kutokimbia ni jambo jengine na Israel kuvunja sheria ni jambo jengine, hebu jenga hoja vizuri.Wewe unajiongelesha tu ingekuwa we ungebakia ufe kizembe? kisa sheria za kimataifa zitakulinda hizo dhidi ya kipindo cha Israel?
Nyie waheshimiwa; Samahani; Hapa tunajadili Hezbollah vs IDF habari za kidini zisitutoe nje ya mada. Tuelekeze macho huko tujionee jinsi Hezbollah anavyopewa dawa kali na chungu- au sio jamani.Hebu Soma nilichoandika na ulichojibu
Hizbollar ni waislam wanampigania allahHizbollah wana dini?.
Kama hawatangazi wewe umejuaje?! Au una chanzo chako cha habari hapo Tel avivCasualties Israel zinatokea sana, ni vile hawatangazi.
Hadi Israel kushambulia kiasi hiko ujue Hezbollah kuna balaa amefanya.
Hezbollah waliua askari wa IDF.Kama hawatangazi wewe umejuaje?! Au una chanzo chako cha habari hapo Tel aviv
Wangapi?! Chanzo cha habariHezbollah waliua askari wa IDF.
Na wanakinukisha huko mida hii!!..wanapiga telaviv,haifa mpaka west bank makazi ya waloweziHezbollah waliua askari wa IDF.
Israel ilibadili sheria na kuwalazimisha lile dhehebu la kiyahudi lisilopigana vita liungwe jeshini,pia wanawavutia waafrika wajiunge jeshi lao kwa ahadi za makazi ya kudumu israel,kwani wanajeshi wameenda wapi?.. maana hatuoni habari za vifo vyaoWangapi?! Chanzo cha habari
Hii ndio idadi ya askari waliokufaIsrael ilibadili sheria na kuwalazimisha lile dhehebu la kiyahudi lisilopigana vita liungwe jeshini,pia wanawavutia waafrika wajiunge jeshi lao kwa ahadi za makazi ya kudumu israel,kwani wanajeshi wameenda wapi?.. maana hatuoni habari za vifo vyao
Mkuu fuatilia mbona kumekuwa na mfululizo wa piga nikupige kati ya Hezbollah na Israel...Wangapi?! Chanzo cha habari
Kwa nini wanahitaji askari toka sehemu yoyote duniani, askari wao wameenda wapi?Hii ndio idadi ya askari waliokufa
wanahitaji nguvu kazi zaidiKwa nini wanahitaji askari toka sehemu yoyote duniani, askari wao wameenda wapi?
Mtume alisisitiza tuvae niswfu saaq.Bwege wewe kitu usicho kijua bora unyamaze kuliko kuketa uwongo, Mtume Muhammad alikataza watu kuvaa kazi kupita kifundo cha mguu. Hata alisema wanao vaa kanzu zinaburuza chini salaa zao hazikubaliki.
Tulia bwana mdogo...kama akili zenu ndo hiz za kudanganywa kuna bikra 72 mlizoandaliwa na kuziacha familia zinateseka kwa kujazwa ujinga...acha tuwakande Hadi akili ziwarudi....IDF endelezeni mikando kuna mengine yanapumua huku kwa mtogoleKama kawaida Jf Imejaa vilaza na waropokaji.
Shambulizi la jana lililofanyika lilifanyika kwenye kambi zao za Hizbollah.
Na hakuna hizbollah aliyekimbia uraiani,kambi ipo na ipo functional.
Israel kuua raia wa kawaida ni kawaida yake.
Aliua hata raia wake mwaka jana hapo Gaza.
Aliua hata France official mwaka jana Palestina.
Huwenda naongea na mtoto wa kijiweni.
Ujinga wenu kichwani unaondoa ladha ya kujifunza hapa JF.l
Hawa ndo wanajielewa Sasa...acha migaid ibaki ikandweIla walebanon sio wakaidi kama Gaza Leo maelfu ya raia wameondoka kupisha mvua ya mabomuView attachment 3104547
Huwa sibishani ujinga.Tulia bwana mdogo...kama akili zenu ndo hiz za kudanganywa kuna bikra 72 mlizoandaliwa na kuziacha familia zinateseka kwa kujazwa ujinga...acha tuwakande Hadi akili ziwarudi....IDF endelezeni mikando kuna mengine yanapumua huku kwa mtogole