Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

1. Si kweli Hezbollah wanawalenga IDF tu bali hawana uwezo wa kuwafikia wananchi wa Israel. Nyumba zote za Israel zina mahandaki so wakati wa hatari king'ora kinalia wanaingia. Na leo wamehamishwa na serikali yao. Israel hawalengi raia ndio maana wanatangaza kabisa wahame. Lini Hamas au Hezbollah imewahi kuwatanga Waisrael wahame kabla hawajashambulia?

2. Kama ambavyo Israel inapata msaada toka USA, Hezbollah wanapata toka Iran, Lebanon na washirika wengine. Ni kwamba wanazidiwa uwezo, maarifa na teknolojia. Wenzao wakati wanachimba madesa, wao wanasoma madrasa.
Usifananishe Tel Aviv na miji mikubwa yenye iron dome na Mahandaki na miji mingine ya Israel, kuna miji kibao meupe kabisa inapigika bila ulinzi
 
Wewe unajiongelesha tu ingekuwa we ungebakia ufe kizembe? kisa sheria za kimataifa zitakulinda hizo dhidi ya kipindo cha Israel?
Mtu kukimbia ama kutokimbia ni jambo jengine na Israel kuvunja sheria ni jambo jengine, hebu jenga hoja vizuri.
 
Hebu Soma nilichoandika na ulichojibu
Nyie waheshimiwa; Samahani; Hapa tunajadili Hezbollah vs IDF habari za kidini zisitutoe nje ya mada. Tuelekeze macho huko tujionee jinsi Hezbollah anavyopewa dawa kali na chungu- au sio jamani.
 
Wangapi?! Chanzo cha habari
Israel ilibadili sheria na kuwalazimisha lile dhehebu la kiyahudi lisilopigana vita liungwe jeshini,pia wanawavutia waafrika wajiunge jeshi lao kwa ahadi za makazi ya kudumu israel,kwani wanajeshi wameenda wapi?.. maana hatuoni habari za vifo vyao
 
Israel ilibadili sheria na kuwalazimisha lile dhehebu la kiyahudi lisilopigana vita liungwe jeshini,pia wanawavutia waafrika wajiunge jeshi lao kwa ahadi za makazi ya kudumu israel,kwani wanajeshi wameenda wapi?.. maana hatuoni habari za vifo vyao
Hii ndio idadi ya askari waliokufa
 
Bwege wewe kitu usicho kijua bora unyamaze kuliko kuketa uwongo, Mtume Muhammad alikataza watu kuvaa kazi kupita kifundo cha mguu. Hata alisema wanao vaa kanzu zinaburuza chini salaa zao hazikubaliki.
Mtume alisisitiza tuvae niswfu saaq.
Kanzu ama nguo yeyote isivuke kifundo cha mguu.
 
Kama kawaida Jf Imejaa vilaza na waropokaji.
Shambulizi la jana lililofanyika lilifanyika kwenye kambi zao za Hizbollah.
Na hakuna hizbollah aliyekimbia uraiani,kambi ipo na ipo functional.
Israel kuua raia wa kawaida ni kawaida yake.
Aliua hata raia wake mwaka jana hapo Gaza.
Aliua hata France official mwaka jana Palestina.
Huwenda naongea na mtoto wa kijiweni.
Ujinga wenu kichwani unaondoa ladha ya kujifunza hapa JF.l
Tulia bwana mdogo...kama akili zenu ndo hiz za kudanganywa kuna bikra 72 mlizoandaliwa na kuziacha familia zinateseka kwa kujazwa ujinga...acha tuwakande Hadi akili ziwarudi....IDF endelezeni mikando kuna mengine yanapumua huku kwa mtogole
 
Back
Top Bottom