Hisbollah analenga kambi za jeshi, wao kambi zao za jeshi zipo kwenye majengo ya civilians, unategemea zikipigwa civilians waokoke vipi?Vita yoyote ile wa natakiwa wapigane makundi husika, ila hao Israel wapo busy kuua wasio na hatia, wanawake, watoto, wazee etc.
UNAFKIRI Hezbollah hana uwezo wa kuua raia wa Israel wa kawaida? Anao ila angalau wao wana ubinadamu wanapigana na Jeshi la Israel na sio raia wa Israel.
Imekua hivyo tena?Maana mlisema Hezbollah ni maneno ingine.Hagusiki.Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Ukitaka adui alie machozi ya kabatini unatakiwa kuumiza wapendwa wake kwanza halafu yeye afuatie baadaye.Israeli ni makatili sana, wanauwa watu na watoto wasio na hatia. Inatisha.
Wawauwe hezibula sio watoto wasio na kosa, kuuuwa watoto ni LAANA.
Israel hapo ndo inaniuzi.Kweli jana Hezbollah walijitutumua ila wamekuta Israel wamejipanga. Israel wamewazidi akili mbali.
1. Nchi ina mfumo wa ving'ora; rocket zinapokuja ving'ora vinalia wananchi wanachukua tahadhari/hatua. Hii akili ya juu kuwalinda raia.
2. Hapo rocket nyingi zimedunguliwa na Iron dome. Zingefika zote hali ingekuwa mbaya.
Vipi kule Lebanon, Hezbollah walichukua tahadhari gani kuwalinda watu wao dhidi ya mashambulizi ya Israel? Kama si Israel kuona huruma na kuwatumia sms wahame hali ingekuwa mbaya zaidi. Hezbollah na Lebanon wako "uchi" kabisa
Naona kwenye vyombo vya habari haswa Aljazera, naona jinsi Israeli ilivyo shambulia kwenye makazi ya watu wasio na hatia na kuuwa watu zaidi ya 400 wakiwemo watoto wadogo Jana 23/09 huko kusini mwa Lebanuni.Ungekuwa unajua hivo vita vinavoendeshwa hata usingeandika hiki
Sawa jiandae mkuu, maana hapo Tel Aviv wanajinasibu kama Paradise ya Gays, wakiwa malizia Waarabu you are next, andaa wajukuu zako Kina Anti Babuu, Anti wesaki na Anti Kilauwo. Sasa hivi hatushei mipaka lakini unwagaji damu wanaousabababisha Africa ni mkubwa, imagine sasa wakishea na wewe mipaka.Hata waende kuua Vatican au Marekani bado nipo na Israel.
La hasha, sivyo. Akili zake ziko vizuri kabisa. Kama ikitokea kupiga Vatican au Marekani lazima kutakuwa na sababu kubwa tena ya kimsingi sio eti ni kupiga tu kwa sababu kuna kupiga.Akili zako hazifanyi kazi vizuri.
Na wewe umeropoka baada ya yeye kuropoka!?La hasha, sivyo. Akili zake ziko vizuri kabisa. Kama ikitokea kupiga Vatican au Marekani lazima kutakuwa na sababu kubwa tena ya kimsingi sio eti ni kupiga tu kwa sababu kuna kupiga.
Kumbuka Myahudi tofauti na wavaa kobazi, habahatishi na dozi au kisago anachotoa kinaendana na calibre ya mlengwa. Ukiwa mkubwa anakutwanga kikubwa, ukiwa mdogo anakufinya tu inatosha.
Masaa sita ni machache,ikiwa unamwambia mtu ahame na una lengo nae zuri utampa hata siku moja siyo masaa maana wengine ni ndugu wanaishi sehemu tofauti tofauti labda wanasubiriana wahame kukaa sehemu moja huko uhamishoni?Ukiambiwa ondoka tena vita πππ hivi jambo kama kifo inaambiwa ondoa usije kufa afu unaona kama wanatania. Taatifa imetolewa masaa 6+ kabla ya shambulizi
Kwani tangazo la raia kuondoka hukuliona? Alafu wakati hao watoto wanakufa baba zao huwa wanakaa wapi muda huo?Naona kwenye vyombo vya habari haswa Aljazera, naona jinsi Israeli ilivyo shambulia kwenye makazi ya watu wasio na hatia na kuuwa watu zaidi ya 400 wakiwemo watoto wadogo Jana 23/09 huko kusini mwa Lebanuni.
hapana huu ni unyama na ukatili mkubwa sana.
Hata kama hao magaidi wamejificha hapo wange toa taarifa ya kuondoka kwa raia wema na sio kuwauwa wasio na hatia eti kwa kisingizio magaidi walijificha hapo!!!
kwa hili Israeli italaaniwa kwa kuuwa watoto wasio na hatia.
Israeli inazidi kuidhirishia dunia kwa ni Taifa katili lisilo jali haki za binaadamu!!!
Na wewe umeropoka baada ya yeye kuropoka!?
ππππππAlivyosema Israel hata ashambulie Vatican yeye anamsapoti inamaana haongozwi kwa mantiki bali anaongozwa kihisia na mihemko.
Huwezi ukamsapoti tu mtu pasi na kuangalia unamsapoti kwa mantiki ipi.
Mwisho niseme Israel HAINA UWEZO WA KUIPIGA VATICAN.
Ukiigusa Vatican umeigusa Italia.
Italia ina nguvu za kijeshi kubwa sio sawa na hizo za Israel.
Israel itapigiga haitaamini.
Nanukuu:Na wewe umeropoka baada ya yeye kuropoka!?
ππππππAlivyosema Israel hata ashambulie Vatican yeye anamsapoti inamaana haongozwi kwa mantiki bali anaongozwa kihisia na mihemko.
Huwezi ukamsapoti tu mtu pasi na kuangalia unamsapoti kwa mantiki ipi.
Mwisho niseme Israel HAINA UWEZO WA KUIPIGA VATICAN.
Ukiigusa Vatican umeigusa Italia.
Italia ina nguvu za kijeshi kubwa sio sawa na hizo za Israel.
Israel itapigiga haitaamini.
Vita/mapigano ya kistaarabu kobazi hawezi. Waarabu ni kutupa makombora blindly limpataye shauri yake alimradi ni Myahudi.Ukitaka kutofautisha kati ya watu wanaojielewa na wahuni tazama hili shambulio la IDF pale Southern Lebanon,
kabla ya IDF kushambulia walitoa tahadhari kwamba raia waondoke kwenye infrastructure za Hizbullah ila akatokea Wazir wa habari wa Lebanon kuwazuia watu wasiondoke pia mpaka muda huu hatujasikia wanamgambo wa Hizbullah wakiwataadharisha raia kuhusu kuwepo kwao hapo Southern Lebanon matokeo yake tunaona Vifo vya raia na msongamano mkubwa wa raia kuondoka southern Lebanon bila kujua wanaelekea wapi hii inaonyesha
ni kiasi Gani waarabu walivyo wapumbavu na wasiojali uhai wao wenyewe.
Kwa upande wa Israel Hali ni tofauti sana kwa kuonyesha kuwajali wananchi wake muda mrefu tu waliomba waondoke maeneo ya Northern Israel ambayo rockets za Hizbullah mara nyingi zinafikia huko na kwenda maeneo mengine ya Israel ambayo ni safe wengi wakaenda kwenye mahoteli makubwa mpaka sasa wanaishi huko ambapo Kuna bomb shelters pia ambazo zinawafanya wawe salama kabisa .
#Operation Northern Arrow
Go go go IDF you have the support of the world.
Inashangaza sana. Wababa hawafi ila wanakufa watoto na akina mama. Ina maana makombora ya Myahudi yanachambua watoto na kuwaacha baba zao?Kwani tangazo la raia kuondoka hukuliona? Alafu wakati hao watoto wanakufa baba zao huwa wanakaa wapi muda huo?
Vatican ipo nchi gani!??Nanukuu:
"Mwisho niseme Israel HAINA UWEZO WA KUIPIGA VATICAN.
Ukiigusa Vatican umeigusa Italia".
Mkuu, hilo tuliache kwani hakuna kati yangu na ww mwenye uthibitisho wa hilo.
Watoto waliokufa ni 21 tu.Inashangaza sana. Wababa hawafi ila wanakufa watoto na akina mama. Ina maana makombora ya Myahudi yanachambua watoto na kuwaacha baba zao?
Habari inasema watu wamekufa "ikiwemo watoto".Kwani tangazo la raia kuondoka hukuliona? Alafu wakati hao watoto wanakufa baba zao huwa wanakaa wapi muda huo?
Kama ni hivyo basi Ile kauli ya ''wanawake na watoto" ifuteni muwajumuishe wote wakiwemo baba zaoHabari inasema watu wamekufa "ikiwemo watoto".
Inamaana hawakufa watoto peke yao,bali watoto ni sehemu ya watu waliokufa.
Wazazi wao utajua je kama ni sehemu ya waliokufa!?
Hata kama tuseme wapo unaweza kuzuia kombora!?