Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Ulitaka wasubiri mpaka lini..? Umepewa taarifa sogea unataka kubomoa nyumba uhame kama unapewa notice..? Mida hiyo magaidi nao watakuepo hapo hapo
Bro embu angalau kuwa na akili.
Uliwahi kupewa notice ya kuhama saa moja halafu saa tatu uwe umeshatoka!??
 
Kobazi tukiwaambia sisi huyo myahudi atawamaliza 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Bro embu angalau kuwa na akili.
Uliwahi kupewa notice ya kuhama saa moja halafu saa tatu uwe umeshatoka!??
Ukiambiwa ondoka tena vita 😁😁😁 hivi jambo kama kifo inaambiwa ondoa usije kufa afu unaona kama wanatania. Taatifa imetolewa masaa 6+ kabla ya shambulizi
 
Wameuliwa Walebanon (100) nao wameua Waisrael wawili (2) hapo nimekuelewa.
Vita yoyote ile wa natakiwa wapigane makundi husika, ila hao Israel wapo busy kuua wasio na hatia, wanawake, watoto, wazee etc.

UNAFKIRI Hezbollah hana uwezo wa kuua raia wa Israel wa kawaida? Anao ila angalau wao wana ubinadamu wanapigana na Jeshi la Israel na sio raia wa Israel.
 
Israel hana mamlaka yoyote yale kwa Sheria ya kimataifa kuwaambia raia wa Nchi yoyote ile aondoke Nchini kwao.

Leo Kagame ama Museveni akiwaambia watu wa Mkoa wa Kagera waondoke halafu wa kapiga Kagera itakua wenye Tatizo NI Tanzania?
Ni kweli kabisa 100% Israeli hana hata kidogo hayo mamlaka. Ni kwa ustaarabu tu na uungwana Israeli kaona huruma kwa Raia wasio na hatia ili wasidhurike kwa vumbi litakalotimka hapo waondoke wakajisetiri pembeni kidogo ili kupisha mtifuano. Ni hilo tu. Ila kwa kiburi na dharau yao wamejikuta wanauota moto usiowahusu au pengine nao pia wanataka kuwahi mabikra.
Hiyo hoja ya Kagame haina mashiko kwa sababu siku akiliamsha ,watu wa Kagera watajiondokea wenyewe tena kwa haraka bila ya matangazo. Je; Kwani wale wakimbizi kwenye makambi hapa Tz walisema walitangaziwa waondoke/wakimbie?
 
Ukiambiwa ondoka tena vita 😁😁😁 hivi jambo kama kifo inaambiwa ondoa usije kufa afu unaona kama wanatania. Taatifa imetolewa masaa 6+ kabla ya shambulizi
Kwa akili zako hayo masaa sita yanatosha kuhama!??
Pia kwa uelewa wako unadhani Israel haijui kambi za Hizbollah zilipo!??
Wanafahamu zipo mbali na raia wa Lebanon,ila jiulize kwanini wanashambulia raia wa kawaida??
 
Usiangalie upande Mmoja! Upande wa pili fuatialia Hezbollah anavyopiga ndani ya Israel na kusababisha hasara kwa Israel.
Wataalamu wa maswala ya vita wanasema hata Vita ichukue muda gani mshindi kati ya Hezibollah na IDF hawezi kupatikana!
Isipokuwa Mashariki ya Kati nzima inaweza kujikuta katika vita hiyo.
 
Last time mtu kapiga Kagera vilizuka Vita vya Uganda na Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…