Askari waliouliwa kuanzia alhamisi ni bata na kuku!?Kuua bata na kuku ili watu wasile nyama sio?
Siku hizi kuku na bata wana miguu miwili na wanashika bunduki!?
😂😂😂😂😂Kweli umeishiwa hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askari waliouliwa kuanzia alhamisi ni bata na kuku!?Kuua bata na kuku ili watu wasile nyama sio?
Taarifa Israel wametoa leo na leo hiyo hiyo wameshambulia.Kabla ya shambulizi hili hawaja pewa taarifa kuwa waondoke..?
Kupiga civilian inataka uwezo upi bwege wewe . Ikiwa missiles zimepiga uwanja wa ndege na kiwanda cha kutengeneza silaha ambavyo vinalindwa na missiles za kila aina, washindwe kupiga majumba 😄Huo uwenzo wanao? Labda wewe ukawape hizo mbinu za kuua raia.
Wanaouliwa si Hezbollah ni wananchi wa kawaida hapo unasikia 50 wamekufa 300 majeruhi zaidi ya 90% ni raia wa kawaida.Vita ni ya hizbollah sio lebanon ,tatizo hizbollah wapo lebanon
Ulitaka wasubiri mpaka lini..? Umepewa taarifa sogea unataka kubomoa nyumba uhame kama unapewa notice..? Mida hiyo magaidi nao watakuepo hapo hapoTaarifa Israel wametoa leo na leo hiyo hiyo wameshambulia.
Halafu kinachonishangaza kambi za Hizbollah zinafahamika zilivyo.Wanaouliwa si Hezbollah ni wananchi wa kawaida hapo unasikia 50 wamekufa 300 majeruhi zaidi ya 90% ni raia wa kawaida.
Wameuliwa Walebanon (100) nao wameua Waisrael wawili (2) hapo nimekuelewa.Jana si shambulia Israel na akaua askari wawili kama alivyoua Alhamisi!?
Israel wameshambulia leo,ndio tusubiri na wao Hizbollah walipize kama walivyolipiza jana.
Au wewe mgeni wa habari!?
Bro embu angalau kuwa na akili.Ulitaka wasubiri mpaka lini..? Umepewa taarifa sogea unataka kubomoa nyumba uhame kama unapewa notice..? Mida hiyo magaidi nao watakuepo hapo hapo
Divide and rule,Halafu kinachonishangaza kambi za Hizbollah zinafahamika zilivyo.
Kwanini wao wanalenga upande wa raia moja kwa moja!??
Usisahau Hizbollah imeua ASKARI WA IDF sio RAIA.Wameuliwa Walebanon (100) nao wameua Waisrael wawili (2) hapo nimekuelewa.
Kobazi tukiwaambia sisi huyo myahudi atawamaliza 🤣🤣🤣🤣🤣Mdogo wangu Hezbullah mwenyewe anataka wa Lebanon wafe, sababu Israel huwa hana mipaka ya adabu kwenye vita. Tazama mfano pale Gaza anafanya genocide sababu anajua wazi yuko America na Europe watamkingia kifua. Hezbullah ni lazima na yeye apige civilian area ndio Israel ataweka adabu.
Israel haheshimu isipokuwa nguvu tu, yeye akiuwa civilian na nyie uweni civilian. Vita haina adabu eti nikwepe civilian. Israel anakataza media kuchukua madhara anayo pata ya kijeshi, lakini kwenye kiwanda cha Rafael karuhusu wachukue majumba ya mastaff asingizie wanapiga civilian. Afu yeye anajidai watu tokeni kwenye majumba yenu, afu anapiga hapa hapo ili aseme aliwapa warning.
Ukipigana na mwehu na wewe kuwa mwehu kama yeye akipiga civilian na wewe piga civilian ndio dawa yake.
Ukiambiwa ondoka tena vita 😁😁😁 hivi jambo kama kifo inaambiwa ondoa usije kufa afu unaona kama wanatania. Taatifa imetolewa masaa 6+ kabla ya shambuliziBro embu angalau kuwa na akili.
Uliwahi kupewa notice ya kuhama saa moja halafu saa tatu uwe umeshatoka!??
Wanao sana.Hizbullah na Hamas wanatamani sana hayo yote uliyoyasema ila bahati mbaya uwezo wa kufanya hivyo hawana.
Sio kwamba tusubiri kuona magofu maana ndio kinachofuatia patasambaratishwaTusubiri majibu ya Hizbollah.
Vita yoyote ile wa natakiwa wapigane makundi husika, ila hao Israel wapo busy kuua wasio na hatia, wanawake, watoto, wazee etc.Wameuliwa Walebanon (100) nao wameua Waisrael wawili (2) hapo nimekuelewa.
Vipi umtoe civilian kwenye nyumba yake? Pia Israel anapiga majumba kawahi onyesha hata bunduki kama dalili kakuta kwenye hayo majumba.Kabla ya shambulizi hili hawaja pewa taarifa kuwa waondoke..?
Ni kweli kabisa 100% Israeli hana hata kidogo hayo mamlaka. Ni kwa ustaarabu tu na uungwana Israeli kaona huruma kwa Raia wasio na hatia ili wasidhurike kwa vumbi litakalotimka hapo waondoke wakajisetiri pembeni kidogo ili kupisha mtifuano. Ni hilo tu. Ila kwa kiburi na dharau yao wamejikuta wanauota moto usiowahusu au pengine nao pia wanataka kuwahi mabikra.Israel hana mamlaka yoyote yale kwa Sheria ya kimataifa kuwaambia raia wa Nchi yoyote ile aondoke Nchini kwao.
Leo Kagame ama Museveni akiwaambia watu wa Mkoa wa Kagera waondoke halafu wa kapiga Kagera itakua wenye Tatizo NI Tanzania?
Kwa akili zako hayo masaa sita yanatosha kuhama!??Ukiambiwa ondoka tena vita 😁😁😁 hivi jambo kama kifo inaambiwa ondoa usije kufa afu unaona kama wanatania. Taatifa imetolewa masaa 6+ kabla ya shambulizi
Last time mtu kapiga Kagera vilizuka Vita vya Uganda na Tanzania.Ni kweli kabisa 100% Israeli hana hata kidogo hayo mamlaka. Ni kwa ustaarabu tu na uungwana Israeli kaona huruma kwa Raia wasio na hatia ili wasidhurike kwa vumbi litakalotimka hapo waondoke wakajisetiri pembeni kidogo ili kupisha mtifuano. Ni hilo tu. Ila kwa kiburi na dharau yao wamejikuta wanauota moto usiowahusu au pengine nao pia wanataka kuwahi mabira.
Hiyo hoja ya Kagame haina mashiko kwa sababu siku akiliamsha ,watu wa Kagera watajiondokea wenyewe tena kwa haraka bila ya matangazo. Je; Kwani wale wakimbizi kwenye makambi hapa Tz walisema walitangaziwa waondoke/wakimbie?