Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Iran wamepiga marufuku kwa IRGC guards kutumia vifaa vya mawasiliano?. Ni mwendo wa P.O. BOX tu

Kwahiyo itakua hivi


P Box 11111
Gaza


Kwako, mpendwa shekhe kundecha,
Salaaam ama baada ya salamu tuna imani u mzima bado hujaangushiwa dhahama na mayahudi washenzi sana wale shekhe, wanatufumua sana vichogo.
Nia ya barua hii ni kukujulisha kuwa usitumie hata wembe kunyolea ndevu mana wembe nao wameuhack unabadilika unakua panga.


Wako ,mtiifu Shekhe Kitoga wa mwembe mtengu
 
Waliambiwa waondoke wamepigiwa hadi simu kwa kiarabu
Hezbollah Leo asubuhi waliwatangazia wananchi waendelee kusalimia kwenye nyumba zao wasiondoke Kwa mikwala Israel Ila baada ya kupigwa kipigo kikali wameondoka maelfu ya raia.
Hezbollah wakitoa ahadi ya kuwalipia Kodi Kwa baadhi ya wananchi ila imeshindikana Kwa raia kusikiliza propaganda...
Safari hii Hezbollah watakufa Sana tofauti na 2006
 
Wamejitakia... Hezbollah inawahusu nn vita ya Hamas? Mbona mataifa mengine ya kiarabu yasiyofungamana na Iran yana amani na maisha yanaendelea
 
IDF hawashambulii ovyo ovyo tu na hii ndio tofauti kati ya jeshi bora na vikundi vya wahuni, mara nyingi IDF huwa wanashambulia wanaposhambuliwa na wanapiga pale pale kwenye eneo yalipotokea makombora ( launching post) leo IDF wamepiga target karibu 300 za Hizbullah kwa maneno Yako unataka kusema wewe una akili zaidi kuliko MOSSAD yaani wakapige raia waache hayo maeneo ya Hizbullah ambayo ni tishio kwao?
 
2006 Israel alikimbizwa Lebanon.
Kaa usilisahau hilo.
 
Mtaalamu gani kayasema haya maneno?
 
Narudia comment ya tatu hii, hao wanaokufa sio Hezbollah, unapopiga jengo la Raia huui wanajeshi bali raia wa kawaida, soon utaona majina ya waliofariki ni vitoto na wanawake kwa asilimia kubwa, hasa huu muda wa asubuhi/Mchana ambao wanaume wapo makazini.
 
Jamaa ni muongo Sana
 
 
Bro unaongea na mtu mzima sio fala.
Una uhakika Israel haishambulii raia kimakusudi!?
Hivi unajua kama Israel ilimuua France official akiwa ofisini kwake Palestina??
Waliulizwa kwanini walilipua jengo la France official hawakujibu hadi leo.
Wewe shabiki wao unaweza ukatugaia jibu??
Au ndio utaleta kisingizio kile kile France consulate inaficha Hamas!?
Hapo hapo Lebanon hivi unajua kama kuna waandishi wa habari walilipuliwa wakiwa katika majukumu yao na walikua wanane wanne wakiwa wazungu!??
Na hawakuwa eneo la mapigano walikua eneo waliloambiwa kuwa salama halitaweza kuwafikia mapigano!??

Tuache huko twende Gaza ambako Israel sniper aliua wanawake wawili kwa sniper wakiwa kanisani.
Je hilo unalizungumziaje??

Narudia tena mkuu kama hujui kitu kaa kimya.Kambi za Hibzollah ziko karibia na mipaka ya Israel na zipo katika miinuko milimani sio karibu na raia.
ISrael ni nchi ambayo ikionekana kushindwa mapigano hushambulia raia ili kuleta hofu kwa wapiganaji.

NASUBIRI MAJIBU YA MASWALI YANGU HUKO JUU.
LEO NIKO NA WEWE MGUU KWA MGUU
.
 
Wako msikitini wanamlaumu allah kwa kuwatelekeza vipenzi vyake.
Hao ni wasiokua na imani kama wayahudi na manasara na mapagani, muislam hawezi kumulaum Allah. Liki mfika jambo tumeambiwa kusema Alhamdulillah au innalillah wainalillah rajiun.. unajifuta vumbi unasonga dini yetu ni muhimu kuliko uhai wetu iweje tuwe na lawama? Sisi ni watumwa tu kwani Allah ataleta wengine akiamua kama ambavyo amekua akifanya kuanzia aliowafuta kwa maji ya mvua kipindi cha nuhu, na akatuleta sisi hio ndio cycle
 
Israel hana mamlaka yoyote yale kwa Sheria ya kimataifa kuwaambia raia wa Nchi yoyote ile aondoke Nchini kwao.

Leo Kagame ama Museveni akiwaambia watu wa Mkoa wa Kagera waondoke halafu wa kapiga Kagera itakua wenye Tatizo NI Tanzania?
Hakuna taifa dunia halina adabu kama hilo, tatizo aliye tunga bibilia aliwapoteza makondoo wakamini eti taifa la Mungu. Huyo Mungu asichague US, China, Congo ambayo ni matajari au Saud Arabia na ni makubwa akachague kinchi kilicho undwa na UK 😄

Hao wanafanya genocide afu US anasema zipo wapi dalili 😄
 
Majengo husika ndo yaliyokuwa yakitumika kuhifadhi silaha. Ndo maana waliambiwa waondoke kwenye majengo hayo. Lakini wao walikaidi.
 
Nasema Lebanon 🇱🇧 waache haya mambo ya Israel 🇮🇱 watapoteaa hawaa

Wawashauri wanamgambo wao waachane na Israel watakufaa na kurudishwa nyuma
 
Waisrael zaidi ya 100 waliotekwa na Hamas baada ya kuingia ndani ya Israel na kuua baadhi hili hukuona eti ee.
 
Jamaa ni muongo Sana
Bro mie sio kama wewe huwa siropoki naongea nilichothibitisha.
Hiyo ripoti ya mwaka jana 2023 Israel soldiers wamewapiga risasi wanawake wawili kanisani na wamewajeruhi 7 wakiwa na rifle inamaana wadunguaji walikuwa sniper.
Je hapa unasemaje!??
Mdunguaji wa mbali anakuweka katika target halafu anakufyatulia risasi je hii sio makusudi!??
Ulimwengu huu wa utandawazi utamdanganya nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…