Nyukria! Ukumbuke lengo la Iran ni kuifuta Israel.Ni nini kimeiuzi Israel hadi kuishambulia Iran???
Kosa la Iran liko wapi??
Nyukria! Ukumbuke lengo la Iran ni kuifuta Israel.Ni nini kimeiuzi Israel hadi kuishambulia Iran???
Kosa la Iran liko wapi??
Kwa hiyo Israel hajui hilo? Wabongo bhana...Anayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
WanachokozwaHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Anaujua mziki wa Iran. Wanajidai wamemuwa chief of staffExactly, Iran itajibu kwa nguvu sana sana..
Trump ni ms3nge sana yule mzee... leo namsikia anasema kabisa kuna uwezekano vita kuu ya 3 ikatokea... sasa sielewi ...
Toka aanze kusema hivyo hadi leo ni miaka mingapi??Nyukria! Ukumbuke lengo la Iran ni kuifuta Israel.
Subiria tuwanyoe Kwa chupa MAGAIDI nyieAnayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
wamezungukwa na maadui, lazima waondoe vitisho vya maaduiHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Ziko milimani, unaambiwa ni siku ya Kwanza, Uzuri wa Wavaa kobazi Kazi watamaliza waoWanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Unacheza na wazungu wewe! Marekani ni mnafiki sana kuliko unavyozani. Hapo anataka kuiaminisha dunia kuwa hahusiki ili pia asipate internal pressure Kwa raia wake.Anayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
sasa unabisha kitu ambacho senators wa US na Witkoff walisema ...Kwa hiyo Israel hajui hilo? Wabongo bhana...
Mkuu, hii kazi unayoiona ni ya marubani wa kike waliotumwa mara ya mwisho kuwachomoa askari wanne wa Iran na kuteketeza mifumo ya ulinzi iliyoshindwa kuwafanya chochoteWanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Netanyahu atakuwa amekimbilia kujificha Gaza ajichanganye na Hamas kwa maana mvua inayokwenda kutokea hapo sio poa..Anaujua mziki wa Iran. Wanajidai wamemuwa chief of staff
Inasikitisha sijui kwanini hawataki na hawawezi kuishi kwa amani na majirani zao.Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Hii ipo wazi anayefanya haya ni US, hata huko juu nimesema..Unacheza na wazungu wewe! Marekani ni mnafiki sana kuliko unavyozani. Hapo anataka kuiaminisha dunia kuwa hahusiki ili pia asipate internal pressure Kwa raia wake.
Vita ni propaganda sheikh
Haya kuanzisha vita si hoja kuimaliza vita msije omba peace badaye huko UN. Kule Israel wameanzisha wao na wako na wasi wasi.Subiri uone hesabu zilizopigwa, Halafu inasemekana shambulio hili la mapema ni marubani wa kike wale waliotumwa mara ya mwisho, kazi ya wanaume inaanza kesho
View attachment 3366372