Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
View: https://youtu.be/BSulH8PuPTw?si=u5YN2E7VUA8y4Ywk
Hizi ndio Nuclear facilities za Iran hahaha unakwenda piga majumba ya Raia hahaha
Wanasema Iran wamechimbia nyuklia zao chini sana haziwezi kufumuliwa na yeyote.Ngoja tuone milio itakayotokea.Mlisema Israel hawezi,sasa mmegeuza maneno eti atamalizaje
😀 😀 😀 Alianza kuwaponza watu wa Gaza, akaenda, Syria, Iraq na Yemen, sasa watu wamemgeukia..Iran hajawahi kuwa na faida yeyote chini ya jua. Bora ipigwe kabsa ichakae ili hapo Mashariki ya kati patulie
Sawa kamanda mkui wa IRGClakini mpaa mda hu sidhani wamepiga kwenye Nuclear facilities. Tusubiri majibu ya Iran
We subiri mbona huwa mnadhani vita ni siku moja au weekMlisema Israel hawezi,sasa mmegeuza maneno eti atamalizaje
View: https://youtu.be/BSulH8PuPTw?si=u5YN2E7VUA8y4Ywk
Hizi ndio Nuclear facilities za Iran hahaha unakwenda piga majumba ya Raia hahaha
Ngoja tuone nii kitatokea..Sasa,teke likupigalo unalitofautishaje na mwili utikisikao?
Sijui kwa nini TISS wameiruhusu Israel ifanye hayo mashambulizi 🤣.Dah! nilikuwa napitia maoni nikakumbuka. Leo ulisema ''Uelewa wa Watanzania ni wa chini sana'' .
Nimekuelewa kwanini ulikuwa ''frustrated'' in a way.
Huu ni uchokozi kama ule wa kumuua kiongozi wa Hamas halafu media zinasema Iran ilishambulia Israel.
Iran wakijibu utasikia imeshambulia Israel. Hapa kwetu ni ushabiki tu.
Nenda shule Iran sio warabu afu kuanza kurusha mawe sio ushindi, ushindi ni matokeo yanakuja mwishoni.🤣
Israel inawachezea sana hao Waarabu.
Yaani inawatandika kila kona….Gaza, West Bank, Lebanon, Tehran…..
Cairo na yenyewe ikijichanganya itachapwa.
Waarabu hamna kitu kabisa.
Ndiyo wananyukwa huko.Mlishupaza shingo kwamba Iran hapigiki.Ngoja tuone.Ngoja tuone nii kitatokea..
Hakuna ww3Israel imevamia anga la Iran na kufanya mashambulizi dakika chache zilizopita.
Anayefanya haya si Israel ni US yupo nyuma, kwa kweli siamini kama tunaenda kuingia WW3...
Huu uzi utaeleweka tu muda si mrefu 👇Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran
Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran
===========
The Israeli air force has carried out a strike on Iran, according to US news site Axios, which cited two sources with knowledge of the operation.
Explosions were heard northeast of the capital Tehran early on Friday, reported Iran's state-run Nour News.
Israel's defence minister has announced a "special situation" in his country and said schools would stay shut on Friday.
Sky's Middle East correspondent Alistair Bunkall said people in Israel were woken in the early hours by air raid sirens and a phone alert warning there could be "severe retaliation".
He said it appears so far that Israel is acting alone.
Chanzo: Sky News
KWa kinachoendelea kati ya Russia na Ukraine, na hiki kinachoendelea kati ya Iran na Israel ww3 kutokea inawezekana..Hakuna ww3
Hahahaha huyo ndio Yahudi sasa,anatembeza kichapo popote paleWe subiri mbona huwa mnadhani vita ni siku moja au week
Iran bahati yake ni Umbali.Haya kuanzisha vita si hoja kuimaliza vita msije omba peace badaye huko UN. Kule Israel wameanzisha wao na wako na wasi wasi.
Tusubiri kuona Tel Aviv ikichakaa..Ndiyo wananyukwa huko.Mlishupaza shingo kwamba Iran hapigiki.Ngoja tuone.
Na nani?Hawa Israel wapigwe sasa.
Kamanda kajifunga kilemba kwa mikwara ili vumbi la jangwani lisimpate.Sawa kamanda mkui wa IRGC