Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Huyo ndiye alituambia humu JF kwamba Iran hagusiki na yeyote.Ngoja wale mikong'onto hadi akili ziwasogee.Kamanda ana type huku analia 😂 anapost huku anaogopa
Huyo ndiye alituambia humu JF kwamba Iran hagusiki na yeyote.Ngoja wale mikong'onto hadi akili ziwasogee.Kamanda ana type huku analia 😂 anapost huku anaogopa
Kama Chief Of Staff kauliwa sembuse hivo vibanda vya nukes?Sawa kamanda mkui wa IRGC
Matusi yako ya kitoto hayaondoi ukweli kuwa mbabe wa Mashariki ya Kati ni Israel!Sawa umeona target alizo piga Israel hahaha zote ni civilian area yeye akipigiwa hizo civilian area wataishi wapi watu wake hahaha. Ndege zitoke Tela Aviv zikapige majumba ya watu huo ni ushoga tu. Badala apige military target kaishia piga majumba anadhani Iran warabu wanao kwepa civilian target hebu kaeni mkao wa kula msubiri kipigo.
Yaani wanasubiri Taarifa ya Ayatollah wale Kichwa
View: https://x.com/clashreport/status/1933336371055263987
Serikali ya Iran ni sawa na Serikali ya CCM maadui wakubwa ni wananchi, so Israel ikidumaza nguvu na Majeshi ya Iran ina trigger watu waitoe serikali yao
Yaani wanasubiri Taarifa ya Ayatollah wale Kichwa
View: https://x.com/clashreport/status/1933336371055263987
Serikali ya Iran ni sawa na Serikali ya CCM maadui wakubwa ni wananchi, so Israel ikidumaza nguvu na Majeshi ya Iran ina trigger watu waitoe serikali yao
Yale Yale ya Iraq kua na Silaha za maangamizi.Anayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
Ila Israel toto tundu sana pamoja na biti zote toka Iran, Aie defence zote bado kaenda na kumpiga hadi kumuua Chief of StaffMatusi yako ya kitoto hayaondoi ukweli kuwa mbabe wa Mashariki ya Kati ni Israel!
Hiwezekani wasijibu..Asipojibu je?
Kwa hio kaisha shinda vita sio sababu kapiga Nuclear facilities, Missiles, Chief of Staff na sasa unatuambia wanasayansi wa vinu vya Nuclear haya hongereni sana mmeisha shinda vita. Kwa hio Iran wajinga hawakujua Israel atawatarget hao habari za Israel na USA daima ni propoganda tu.Kulenga makaazi ya ma engineer (wahandisi) na wanasayansi wa vinu vya Nuklia vya Iran, baada ya kukusanya taarifa za kiintelejensia ni njia mojawapo ya Israel kujilinda.
Hujui nyamaza.Huo sasa ni uchokozi!
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Yan kuna watu wanafikiria kis3nge sana kisa ushabiki wa kipumbavu.Kama Chief Of Staff kauliwa sembuse hivo vibanda vya nukes?
Uliwahi kusikia Israel akasema kakosa target hahaha daima yeye maneno mengi mkiona Iran hajibu basi kweli kisha msliza mchezo.lskini mimi naona Iran atashinda hi vita na ata kuwa na Nuclear sasa.Ila Israel toto tundu sana pamoja na biti zote toka Iran, Aie defence zote bado kaenda na kumpiga hadi kumuua Chief of Staff
Afu anasema ni Phase 1
Wanasema hii operation sio ya Siku mojaIsrael kiburi sana eti first round
Jidanganyeni,Trump anawakodolea macho tuuIran ikijibu Israel haitopenda..
Na itakuwa mwisho kwa Israel kurudia tena huo ujinga.
Haya wewe ndiye mwenye akili Israel kisha shinda vita hahahaYan kuna watu wanafikiria kis3nge sana kisa ushabiki wa kipumbavu.
Hiv kabisa watu na akili zao zoote, wakatumie resource kama ndege vita, askari ,waka by pass air defence forces na mifumo ya ulinzi ea anga la adui kisha waka strike na kutoka ,kisha wewe mjinga mmoja tu Adiosamigo hapo mbagara ukalete ujuaji wa kujitia kujua zaid ya wale walio take risk at an expense of their whole small nation, kwel mtu huyu atakua na akili kweli ??
Yan Israel haijui inachofanya kisa wewe mpumbavu mmoja hapa JF??
Inachekesha sana aisee
Ila kama hao wahandisi wa Iran walikuwa hawako mafichoni, nitaendelea kuwadharau sana maana watakuwa wameuliwa kizembe.Kulenga makaazi ya ma engineer (wahandisi) na wanasayansi wa vinu vya Nuklia vya Iran, baada ya kukusanya taarifa za kiintelejensia ni njia mojawapo ya Israel kujilinda.
Wataalamu hao wa Iran wakiguswa, basi mradi wa kuendeleza vinu vya nuklia ukakwamishwa au kusitishwa huku Israel ikizidi kujiimarisha kwa kadri Iran itakayo jitutumua kuendelea na miradi yake ya hatari kwa usalama wa taifa la Israel.