Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Yan kuna watu wanafikiria kis3nge sana kisa ushabiki wa kipumbavu.
Hiv kabisa watu na akili zao zoote, wakatumie resource kama ndege vita, askari ,waka by pass air defence forces na mifumo ya ulinzi ea anga la adui kisha waka strike na kutoka ,kisha wewe mjinga mmoja tu Adiosamigo hapo mbagara ukalete ujuaji wa kujitia kujua zaid ya wale walio take risk at an expense of their whole small nation, kwel mtu huyu atakua na akili kweli ??
Yan Israel haijui inachofanya kuliko mpumbavu mmoja hapa JF??

Inachekesha sana aisee
kwanza ni aibu sana umejiandaa wee afu unapigwa
 
Kwa hio kaisha shinda vita sio sababu kapiga Nuclear facilities, Missiles, Chief of Staff na sasa unatuambia wanasayansi wa vinu vya Nuclear haya hongereni sana mmeisha shinda vita. Kwa hio Iran wajinga hawakujua Israel atawatarget hao habari za Israel na USA daima ni propoganda tu.

MOSSAD na idara zingine za ujasusi wa kidola nje ya mipaka umefanya kazi yake ya kuchakata taarifa za mitaa, post code na nyumba za wataalamu wa silaha za hatari wa ki-Iran na, kisha sasa jeshi la ulinzi la Israel IDF linatumia taarifa hizo kumdhoofisha adui kwa kipigo.
 
Uliwahi kusikia Israel akasema kakosa target hahaha daima yeye maneno mengi mkiona Iran hajibu basi kweli kisha msliza mchezo.lskini mimi naona Iran atashinda hi vita na ata kuwa na Nuclear sasa.
Video zipo
 
Nyukria! Ukumbuke lengo la Iran ni kuifuta Israel.
Lengo la Iran ni kwa maana hiyo ndo sera ya iran au kuna kichaa mmoja kwenye uongozi wa Iran alisema hivyo jambo ambalo hata vichaa wengine kutoka Israel na wenyewe huwa wanasema?
 
Hahaha hata dakika 15 kipindi cha kwanza hazijaisha watu mmeshajua mshindi nani, huo ni uchawi sasa.

Subirini baada ya Halftime tuanze kutoa utabiri wa ushindi.

Atakaye omba cease fire ya kwanza huyo atakuwa keshaanza kudoda.
 
Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Wale ni watoto wa nyoka!
Nyoka akishatotolewa huwa haendi kozi ama semina ya kuuma.

Kuzaliwa hadi kufa ni kuuma tu na asipopata wa kuuma, huanza kugonga hata miti ovyo ovyo kupunguza sumu, ndiyo hao sasa!

Lakini tukirudi nyuma, wanaeza enda kushambulia bila kuchokozwa?

Sijawahi kusikia wakifanya hivyo hata siku 1!

Wao huwa mpaka uwaanze.
 
Sawa umeona target alizo piga Israel hahaha zote ni civilian area yeye akipigiwa hizo civilian area wataishi wapi watu wake hahaha. Ndege zitoke Tela Aviv zikapige majumba ya watu huo ni ushoga tu. Badala apige military target kaishia piga majumba anadhani Iran warabu wanao kwepa civilian target hebu kaeni mkao wa kula msubiri kipigo.
Kobaz unapapaswa makalion huku umevaa kipedo. Hao wamekuja mademu kwanza kukupapasa makalio uloane. Kisha wanakuja ma men lazima unye bungo.
 
Back
Top Bottom